SHAMBA (Ekari 30) - Bagamoyo

SHAMBA (Ekari 30) - Bagamoyo

Crucifix

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2011
Posts
1,655
Reaction score
593
Kama unahitaji lote au sehemu yake piga simu
0716646304
 
Kabla sijapoteza pesa yangu kukupigia nijibu hilo shamba liko maeneo gani, na ni km ngapi kutoka bmoyo mjini, pia unauza heka moja kwa sh ngapi?
 
Kabla sijapoteza pesa yangu kukupigia nijibu hilo shamba liko maeneo gani, na ni km ngapi kutoka bmoyo mjini, pia unauza heka moja kwa sh ngapi?

Kilometa 5 kuelekea Msata, ekati moja milioni moja laki mbili tu. Maongezi ruksa. Sasa kama unaogopa kupoteza 200/- kuuliza utaweza kweli kununua kwa mil. 36? Anyway mimi sio muuzaji, so ukimpigia mwambie namba umepata kwa dokta. Kila la kheri
 
Mkuu Crucifix utapata shilingi ngapi as your commission
.

kazi yangu ni kutibu watu sio udalali; sasa mgonjwa akiniomba nimsaidie kumtafutia wanunuzi wa shamba nshageuka kuwa dalali?

vimemba vingine vya JF bana!
 
Kilometa 5 kuelekea Msata, ekati moja milioni moja laki mbili tu. Maongezi ruksa. Sasa kama unaogopa kupoteza 200/- kuuliza utaweza kweli kununua kwa mil. 36? Anyway mimi sio muuzaji, so ukimpigia mwambie namba umepata kwa dokta. Kila la kheri

Haya maelezo uliyoyatoa yanapunguza usumbufu maana nina hakika sio mimi pekee ambaye nimenufaika nayo hata wana JF wenzangu... Asante sana kwa taarifa.
 
aaaah! mchungaji unauza mashamba sasa! safi, sasa nifanyie mpango mana nataka bagamoyo kitopeni kule, inakuwaje?
 
aaaah! mchungaji unauza mashamba sasa! safi, sasa nifanyie mpango mana nataka bagamoyo kitopeni kule, inakuwaje?

yakhe kwa fujo sikuwezi ati! ushafuturu weye? mie siuzi mashamba bana ila nimekutana na wazee wanauza so kuwasaidia na kuwawekea bandiko lao hapa nalo ni tendo jema la kikristu. Na ndio mbiashara itakayoendelea hapo. Nina ratiba upande wa kitopeni kama baada ya wiki. Nikikuta mtu anauza shamba nitakujulisha tukikutana kuuuuuule kwenye jukwaa letu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom