pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
Jibu swali hapaUmbali toka Mjini Kati kufika Shamba Kilometa Ngapi?
Miundombinu ya Barabara, umeme na maji ikoje?
Umilki Una status gani?Lina offer?
Sijui kukadiria ila unapanda gari za Buswelu unashukia ilalila Centa kutoka hapo kituoni hadi sehemu ya eneo ni dakika tano hadi Saba kwa miguu nauli ni 500 kutoka mjin kati so wew piga mahesabu yako ya kilometa kwa ufafanuzi huuUmbali toka Mjini Kati kufika Shamba Kilometa Ngapi?
Miundombinu ya Barabara, umeme na maji ikoje?
Umilki Una status gani?Lina offer?
Miundo mbinu iko vizuri maji umeme upo tena kama unaweza ukagawa vikawa viwanja coz sehemu shamba lilipo na kituo Cha daladala ni dakika tano hadi Saba kumejengeka tayariUmbali toka Mjini Kati kufika Shamba Kilometa Ngapi?
Miundombinu ya Barabara, umeme na maji ikoje?
Umilki Una status gani?Lina offer?
mbona Buswelu tuu hakuna maeneo mengineSijui kukadiria ila unapanda gari za Buswelu unashukia ilalila Centa kutoka hapo kituoni hadi sehemu ya eneo ni dakika tano hadi Saba kwa miguu nauli ni 500 kutoka mjin kati so wew piga mahesabu yako ya kilometa kwa ufafanuzi huu
Yapo wewe unataka maeneo gani bossmbona Buswelu tuu hakuna maeneo mengine
near to the ziwaYapo wewe unataka maeneo gani boss
Maana tunaviwanja mpaka vya capripoint hivi vya Buswelu ndo vya bei ya chini tulivonavo
Kolomije siwezi kupata?Shamba lenye ukubwa wa ekari mbili lipo Buswelu ilalila karibu na Centa sokoni bei ni mil tano na nusu tu
Tafadhali Tizama video ya shamba uzuri wa eneo ili watu wamejenga unaweza kuchukua shamba ukajenga na kuweka miradi yako kama ufugaji na kilimo
Nimejaribu ku upload picha imegoma
Kama utahitaji plz chek me WhatsApp kwa 0763772636 karibuni sana
hahahaha, huko wamejaa mabashiteπππKolomije siwezi kupata?
Nami ni mwenyeji wa busweluUmbali toka Mjini Kati kufika Shamba Kilometa Ngapi?
Miundombinu ya Barabara, umeme na maji ikoje?
Umilki Una status gani?Lina offer?
Kuna Luchelele kipo karibu na ziwa kiwanja 32*16 kimepimwa bei mil 6near to the ziwa
Vipo Vingi njoo tu.Kolomije siwezi kupata?