Shamba/Ardhi inauzwa Kimbiji-Kigamboni

Shamba/Ardhi inauzwa Kimbiji-Kigamboni

Offline User

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
3,828
Reaction score
2,395
Wadau JF,
ardhi nusu heka inauzwa Kimbiji, 0.5km kutoka barabara kubwa. Bei sh. Milion 5. Piga 0767833995 au ni-PM kwa maelezo zaidi.
 
Mama Tibaijuka si kashapachukua huko? Je unapita pale kwenye mitiki, je lipo upande wa bahari au upande mwingine?
 
Ni umbali gani kutoka pale feri upande wa kigamboni?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom