Hii kitu imeshawahi kukutokea maishani kwamba yule mtu unaehisi ndie mtu mwema kumbe sio mwema in other words ni shetani/devil?
If it real happened to you tupe experience.
Mimi kuna tukio fuliani lilitokea nikagombana na MUNGU nategemea muda ukifika nitalileta humu nishee na wanajamvi.