Asenga wa Pakaya
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 260
- 61
Naibu Katibu Mkuu Wa Umoja Wa vijana Wa chama cha Mapinduzi Zanzibar Bwana Shaka yupo mkoani Mtwara kwa ziara ya wiki mmoja akitumia mbinu mbali mbali ambazo zimefanikiwa Zanzibar na kukitikisa chama cha CUF Znz hasa wakati Wa mwezi Wa sherehe za miaka 51 ya mapinduzi ya Zanzibar
Akiwa Mtwara amefungua rasmi mashina 10 ya vijana Wa CCM ambao awali vilikuwa vijiwe vya CUF
Shaka alionekana kuwavutia vijana wengi huku akiwapa mifano halisi ya Zanzibar kwa madhila yalioletwa na CUF huku akiwataka vijana kutodanganyika na kauli za viongozi Wa CUF kwani ni maneno matupu
"Hao jamaa wasiwadanganye...Znz wanamakamu Wa kwanza Wa Rais wanamawaziri...lakini hakuna wanachofanya zaidi ya kuongeza kuoa wake kila siku.."

Mkuu acha mambo ya kilevi bana.
Ameona na mtwara watadanganyika kwa tende na harua?
Zamani umoja wa vijana ccm ulikuwa kweli una wasomi na viongozi makini. Sasa ccm imeishiwa vijana wengi wanaiacha mkono.
Zamani kulikuwa na kina
Nchimbi
Ulimwengu
Lowasa
Seif khatib
Sukwa
Lukuvi
Kidogo hawa walikua wanajua wana chofanya
Huyu matusi ndio yake lakini si ajabu mija ya sifa kuu ya baradhuli ni matusi
Mkuu hii mshana ni yule dada aliyewahi kuwa mke wa katibu mkuu wizara ya fedha?Kinachonichekesha na kunishangaza pia vijana/ makuwadi wa chama chawala ni hizi ID zenu!!! Karibia zote zimekaa shoti....hivi huwa mnachaguliwa au ni zenu wenyewe?
Muulize lipumba atakupa majibu au babu slaa anajua mtiti wa ccm hawalali wamefanywa kiasi kwamba mda wote wanalia kwa kushindwa kujielewa wafanye nini wanayumba hovyo.ccm !A dying state...!!!
Mkuu hii mshana ni yule dada aliyewahi kuwa mke wa katibu mkuu wizara ya fedha?
Naibu Katibu Mkuu Wa Umoja Wa vijana Wa chama cha Mapinduzi Zanzibar Bwana Shaka yupo mkoani Mtwara kwa ziara ya wiki mmoja akitumia mbinu mbali mbali ambazo zimefanikiwa Zanzibar na kukitikisa chama cha CUF Znz hasa wakati Wa mwezi Wa sherehe za miaka 51 ya mapinduzi ya Zanzibar
Akiwa Mtwara amefungua rasmi mashina 10 ya vijana Wa CCM ambao awali vilikuwa vijiwe vya CUF
Shaka alionekana kuwavutia vijana wengi huku akiwapa mifano halisi ya Zanzibar kwa madhila yalioletwa na CUF huku akiwataka vijana kutodanganyika na kauli za viongozi Wa CUF kwani ni maneno matupu
"Hao jamaa wasiwadanganye...Znz wanamakamu Wa kwanza Wa Rais wanamawaziri...lakini hakuna wanachofanya zaidi ya kuongeza kuoa wake kila siku.."
Huyu Shaka hana loloote juzi watu walikuwa wanamuongelea ana bwana wa kiingereza analiwa tg, Halafu pia alitolewa nje ya ukumbi ni Dr Shein baada ya kusema ccm imekufa Zanzibar na aliyeiuwa ni Rais Shein mapak ikawa kuombewa ni Asha Bakari aendelee kubaki kwenye ccm