Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,860 Reaction score 50,646 Mar 31, 2018 #41 Siyo jina si nasaba, Mayalla ninakwambia, Ni malezi yaso baba, zamani alikimbia, Akabaki mama haba, Uzinzi kajipambia, Hajafunzwa na mamaye, dunia itamfunza!
Siyo jina si nasaba, Mayalla ninakwambia, Ni malezi yaso baba, zamani alikimbia, Akabaki mama haba, Uzinzi kajipambia, Hajafunzwa na mamaye, dunia itamfunza!