Nyie watu mmerogwa, au?!
Ndo matatizo ya kutumia pesa ya urithi haya... Dauda anawaamsha, nyie mnamuona mbaya!!! Hivi katika hali ya kawaida unaachaje Shabalala hadi anabakisha miezi miwili mkataba kwisha?!
Lau kama wange-extend mkataba 8 months ago, huenda wangetumia dau dogo kuliko sasa, kwa sababu sasa watalazimika ku-extend mkataba kwa pressure ya "wasije wakatuzidi kete"!
Katika hali ya kawaida, sioni timu ambayo ingejaribu kutaka kumsajiri mchezaji muhimu kwa club kama Shabalala, na kwahiyo Simba asingekuwa na competition yoyote kutoka nje!
Lakini habari hii, itafanya club zingine ziseme "kumbe kuna fursa"!
Najua mna kiburi cha kwamba eti mna pesa huku mkisahau 20 Billion hazijaingia kwenye akaunti, na pesa za sasa ni za "kuombaomba tu" kama wafanyavyo Yanga!
Kwa hiyo wanaofunga kila siku ndo wafanyeje kwa mfano. Every one is expendable.Siku ile ulishangilia goli la shabalala mpaka basi, ila kwenye kutimiza haja sake unajitoa ufahamu. Be fair my friend, you should fight for fairness treatment for players ambao hawapati kile wanachoatahili kupata
Ni vizuri wachezaji kupewa thamani, lakini thamani hiyo iendane na uhalisia wa vyanzo vya mapato vya timu na thamani ya ligi.Kwasehemu jamaa yuko sahihi, wachezaji mhimu wazawa hawapewi kipaumbele. Hata mimi hii kitu ilinkera kwa sehemu. Shabalala angekuwa mgeni, mngeona jinsi wangemtetemekea.
We linganisha mchango wa shabalala vs Morrison, automatically wa shabalala uko juu kweli. Contributions vs maslahi anayopata hayana correlation kabisa.
Naamini viongozi watampa hela iliyopo kwenye budget na anayostahili.Siku ile ulishangilia goli la shabalala mpaka basi, ila kwenye kutimiza haja sake unajitoa ufahamu. Be fair my friend, you should fight for fairness treatment for players ambao hawapati kile wanachoatahili kupata
Sawa lakini akitokea dogo wa uswazi akamweka benchi Miquesone kwa muda mrefu tu, atastahili kulipwa zaidi au at least kama yeye?Ni vizuri wachezaji kupewa thamani, lakini thamani hiyo iendane na uhalisia wa vyanzo vya mapato vya timu na thamani ya ligi.
Tunaposajili wageni huwa tunaamini wataleta kitu cha ziada kufail kwa baadhi yao kusi
wahukumu kina chama wanaofaulu.
Ni wageni wachache ndio wanaolipwa tofauti na viwango vyao hao waondolewe.
Ila huwezi ukamlipa mgeni kiduchu, mtu ambaye hata kucheza nchini analipia.
Hakuna mchezaji wa kibongo mwenye kiwango hicho, kama akiwepo apewe hela inayostahili watakayokubaliana.Sawa lakini akitokea dogo wa uswazi akamweka benchi Miquesone kwa muda mrefu tu, atastahili kulipwa zaidi au at least kama yeye?
Usidhani hilo haliwezi kutokea bro.
Analipiwa ...Ila huwezi ukamlipa mgeni kiduchu, mtu ambaye hata kucheza nchini analipia
Nitaungana na ww endapo tu utanithibitishia kwamba ceo wa uyu wa simba ndio wa kwanza kufanya ili jambo yan kukaa ad mkataba unabakiza miez miwil,na kingine shaffih ni kama vile ana chuk binafs na ceo kwa sababu kumwambia anaitisha sana press je izo press zilikua zinahusu nn maisha yake au kuhusu simba kama kuhusu simba atuambie ip ilikua press isiyo na maana kwa simba,apo apo shaffih anamshambulia ceo kwa ili jambo lkn anasahau kwamba kupitia uyo uyo maneja anakir simba walimtuma mtu kipind mkataba upo ndan ya miez sita lkn anasema aliongea mambo ya kizaman ila hakusema mambo gan kiufup ni kwamba simba walishaongea mapema kuhusu huo mkataba kilichokuwepo ni kushindwa kuafikiana na bado uyo uyo meneja anaendelea kusema wao walishapanga mkataba ukiisha hawataongeza ,so labda kwa maslai au maamuz ,pia shaffih anazd kumlaum ceo hasomi email je apo shaffih amejuaje ilo jambo ina maana shaffih anachunguza email za babra au za simba na kama kwel ilo jambo yeye kama mwandish ameshamfuata babra kujua ukwel wa ilo suhala ili abalance habarSasa hapo mkuu ni wapi shaffih kamuattack Babra kwa maelezo yake anazungumzia mtu mwenye nafasi ya CEO ndani ya simba kushindwa kutimiza majukumu yake kwa wakati na ni ushauri mzurii hata sisi wanasimba kwa tulipofikia hatufurahii kuhangaika na wachezaji wetu tena tegemeo wakiwa wamebakisha miezi miwili mkataba uishe hizi ni presha za kujitakia ili baadae tumlaumu mchezaji hana mapenzi na timu wakati sote tunajua hawa vijana mpira ndio kazi yao ni zaidi ya mapenzi na ushabiki.
Analipiwa ...
Alitimiza wajibu wake. Kama simba hapalipi anaruhusiwa kuenda team itakayomlipa vizuri.mbona ni jambo dogo sana.Siku ile ulishangilia goli la shabalala mpaka basi, ila kwenye kutimiza haja sake unajitoa ufahamu. Be fair my friend, you should fight for fairness treatment for players ambao hawapati kile wanachoatahili kupata
Zote analipiwa ... Yaani agent akitaka mshahara fulani, ujue kashapiga hizo hesabu.Analipiwa leseni vipi vibali vingine, kodi?
Ndiyo kinachozungumzwa hapa.Hakuna mchezaji wa kibongo mwenye kiwango hicho, kama akiwepo apewe hela inayostahili watakayokubaliana.
Hakuna anayelipwa 1.5 bahna huo ni uongo.Zote analipiwa ... Yaani agent akitaka mshahara fulani, ujue kashapiga hizo hesabu.
Milioni 1.5 siyo sawa na milioni 23. Yaani milioni 21.5 ni kodi?
Ukataji unategemea na mambo mengi, kuna brackets nyingi za kodi ya mapato.Hakuna anayelipwa 1.5 bahna huo ni uongo.
Vipi serikali haikati kodi kwenye mishahara?
Kama inakata ukataji ukoje?
CEO umepiga bull... kelele ni njia ya kihuni isiyo rasmi na hata Tshabalala ana forum nzuri tu ya kuzungumza na uongozi wakakubaliana au kutokubaliana. Mwisho wa siku image na brand ya mchezaji ni muhimu sana kwa kesho yake. Again, huu mkataba w Tshabalala sio wa kwanza na ya awali iliisha na kujadiliana namna ya kuuboresha na pande zote mbili ziliridhia na kusaini. Meneja anapotoka hadharani na kutaja anacholipwa mchezaji ni kidogo na anaenda mbali zaidi na kutaja majina ya watu na mifano ni ule mpira wetu wa kihuni pale Kinesi na Lucky Rangers! In fact wa kulaumiwa wa kwanza ni yeye...Simba wamekosea sana inshu ya Tshabalala, kwanza kuacha hadi mkataba wake uingie ndani ya miezi 6 ya mwisho ni dharau, na hii ni kwa wachezaji wote wa ndani kwa hizi clubs zetu kubwa, Tshabalala anaenda kufungua ukarasa mpya kwa wazawa, kama ataondoka kitakachofuafa ni Manula na Kapombe kupewa mikataba mizuri na mirefu.
Mimi ni shabiki wa Simba, ila sifurahii kuona Manula, Tshabalala na Kapombe wanapata pesa ndogo sana ukilinganisha na wageni kama Chikwende na Kahata wakati wanatoa mchango mkubwa zaidi ya hao wageni.
Tshabalala analipwa 3.5m as per mahojiano ya wakala wake, wakati huo huo Chikwende analipwa 12m na Kahata analipwa zaidi ya 10m, je hii ni sahihi ? Kuwa mzawa si dhambi, wachezaji walipwe vizuri kutokana na performance zao na sio nationality zao.Hakuna anayelipwa 1.5 bahna huo ni uongo.
Vipi serikali haikati kodi kwenye mishahara?
Kama inakata ukataji ukoje?
Aseeee kodi ya kwenye mshahara anakatwa muajiri?Ukataji unategemea na mambo mengi, kuna brackets nyingi za kodi ya mapato.
Siyo swali la kujibu kirahisi. Ila Tax regiment mawakala huzifuatilia pamoja na permits na wanapojadili mshahara huwa wanaweka hizo gharama kwenye equation.
Kwa kifupi, ni muajiri ndiyo anayelipa kodi na gharama nyingine. Siyo mfanyakazi.