Mkuu wa Mahusiano ya Kimkakati Clouds Media na Mchambuzi nguli wa habari za michezo nchini Shaffi Dauda ‘Digala’ leo tarehe 30 Juni , 2025 amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi CCM kuwania Ubunge jimbo la Temeke
Huyu jamaa zaidi ya kuwa mkongwe kwenye kuongea ongea kuhusu soka sijaonaga potentiality yake kwenye ishu nyingine, kwanza anapata tabu sana kwenye kujenga hoja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.