Shabiki Mtoto: Messi amtumia shabiki jezi No 10 ya UKweli

Ambiente Guru

JF-Expert Member
May 21, 2012
2,602
1,084
Mchezaji nyota mpira wa miguu Messi amemtumia shabiki wakee wa miaka 5 jezi ya ukweli. Ni Kijana wa Ki-Afganistan. Awali kijana huyo alijitengenezea jezi anayovaa Messi na kupigwa nayo picha. Alitumia mifuko plastic yenye miraba ya bluu.

Kijana huyu Murtaz Ahmad sasa hivi anajulikana kama shabiki mkuu wa Messi yaani "Messi's biggest fan",

_88438940_messi_boy.jpg


_87933820_messicomparison.jpg

Source: Afghan boy bags real Messi shirt - finally - BBC News
 
Afu mika 20 ijayo utaskia dogo nae hakamatiki kisoka.

Ukimuuliza who inspired u,....messi.
 
Afu mika 20 ijayo utaskia dogo nae hakamatiki kisoka.

Ukimuuliza who inspired u,....messi.
Hakika sababu mtoto toka mdogo anajengwa na kukuzwa kwa kile anachoonesha ana uwezo nacho bongo hapa...Kwanza ukikutwa unacheza na viboko mama anaweza kukuchapa kumbe ndio mlango wako wakutokea huo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom