Hawa watu wana matatizo ya akili, kwanini walinunua trains nyingi za diesel engine, wakifanikiwa kuweka UMEME(japo hawatoweka, wanaota tu) hizo zote diesel engine watazipeleka wapi?

Kwahiyo watakua na engine za trains, Mara mbili zaidi ya mahitaji ya Kenya, hizi za sasa hivi ndio idadi inayohitajika, wakiweka UMEME watanunua idadi hiyo hiyo.
Hawa watu wana matatizo ya akili, kwanini walinunua trains nyingi za diesel engine, wakifanikiwa kuweka UMEME(japo hawatoweka, wanaota tu) hizo zote diesel engine watazipeleka wapi?
My point is, you will have twice the number of required trains. If cargo trains required are 50, then you will have 100 cargo trains, 50 diesel engine and other 50 electrical. Economically it doesn't work, operations cost will double, nor businessman would like to use SGR.