Sexual satisfaction!!!!!

KIUNGOMCHEZESHAJI

Senior Member
Joined
Oct 4, 2013
Posts
120
Reaction score
255
NINA SWALI AMBALO LINANISUMBUA NA LIMEKUWA LIKIBISHANIWA SANA.

Inapotokea kunako 6 kwa 6, mwanaume amefunga goli 3 na mwanamke goli 8. Maana yake kuna wakati mwanaume anahangaika kufunga moja mwenzake kashapiga 2 au tatu. Hapo nani amekuwa na sexual satisfaction zaidi ya mwenzake? Na nani asifiwe kwa uhodari wa mechi?
 
Kama wew umefunga 3 yeye ameshafunga 8 basi ujue timu yake ni nzuri na ina wafungaji wazuri, alafu wew golkeeper hauna, ulikua wapi mpaka ufungwe nanae??
 
Sasa mkuu Daud omar huoni mwanaume anatakiwa ashughulike haswa, kufunga goli kila dakika huoni timu itachoka haraka?
 
Last edited by a moderator:
3 mwanaume umepunguza siku zako tatu za kuishi

8 mwanamke atakuwa ameongeza siku 8 za kuishi

demu ni hodari
 
Kama wew umefunga 3 yeye ameshafunga 8 basi ujue timu yake ni nzuri na ina wafungaji wazuri, alafu wew golkeeper hauna, ulikua wapi mpaka ufungwe nanae??
Hahaahahaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! umenichekesha asubuhi asubuhi nimeongeza siku!
 
:majani7::majani7::majani7::majani7::majani7:

nane kwa tatu? kweli ujue timu mbovu sana aisee.
 
Kama wew umefunga 3 yeye ameshafunga 8 basi ujue timu yake ni nzuri na ina wafungaji wazuri, alafu wew golkeeper hauna, ulikua wapi mpaka ufungwe nanae??

lawama asipewe kipa beki inakatika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…