mimi nakwambia dada ndoa kuwa imara sio kwamba vile mtu alikuwa bikra sidhani kama bikra ina impact yoyote kwenye ndoa..siamini....Smile unamaanisha bikira gani ama ipi?
aisee una negativity kubwa sana, but hii naongelea through experience na nimeiona labda nikwambie hivi smile waweza kuamini kwamba kuna mwanamke anaolewa at 27 akiwa bado virgin na hili likaweka alama kwa mumewe mpaka saa wanaish kwa amani na ndoa ina zaid ya mika 10? ubikira ni sign ya kujitunza na kuwa na chastity na hii iko proved hasa ilipolinganishwa na wale ambao hawakua nayo.
kuna watu wanabadilika lakn pia ukweli ni huo kwamba uakibahatika kuolewa bikira ni nzuri anyway haya ya vijana wa kileo ni mageni sana kwangu miye mzee
you are welcome.thanks ma bro blaine n kurt. siwez kusema zaid ya hapo. hope umenielewa.
Smile unamaanisha bikira gani ama ipi?
aisee una negativity kubwa sana, but hii naongelea through experience na nimeiona labda nikwambie hivi smile waweza kuamini kwamba kuna mwanamke anaolewa at 27 akiwa bado virgin na hili likaweka alama kwa mumewe mpaka saa wanaish kwa amani na ndoa ina zaid ya mika 10? ubikira ni sign ya kujitunza na kuwa na chastity na hii iko proved hasa ilipolinganishwa na wale ambao hawakua nayo.
kuna watu wanabadilika lakn pia ukweli ni huo kwamba uakibahatika kuolewa bikira ni nzuri anyway haya ya vijana wa kileo ni mageni sana kwangu miye mzee
you are welcome.
PS: unrelated to the topic, how do you mention a user, i tried but failed
Our village ladies are married at the age of 12,they get laid at the age of 9,some of them are not aware if there is something called virginity,because at the tender age their mother use a piece of calabash to open the vagina or circumcised to get ready to be married,this is pat of tradition of some tribes in Arica.
dada naomba unieleweshe kidogo vijana wanapoowana na usiku wa fungate kama kijana atampata binti ni bikra kuna ujumbe atawapa washenga waupeleke ukweni kuwa amepata mwanamwali<bikra> au inakuwa ni kama desturi mashangazi wa bwana arusi kuja ukweni na vigelegele na kanga ya kumvalisha mama mkwe.naomb ufafanuzi kama unaelewa hapo
Smile mdogo wangu wa moyoni mbona unasahau kwamba kipimo cha kwamba binti hakuwah kufanya uzinzi ni ubikira? na kuwa na bikira haina maana kwamba tabia nyingine zote ni nzuri kwako neva. ila kwa ile inayopimwa kwa ubikira hiyo umefaulu ila zinazopimwa kwa vizio tofauti hizo nazo hupimwa tofauti.mimi nakwambia dada ndoa kuwa imara sio kwamba vile mtu alikuwa bikra sidhani kama bikra ina impact yoyote kwenye ndoa..siamini....
mtu unaolewa bikra..ni mchoyo,huna ukarimu.una gubu ...mwanaume gani atakaa hapo? but mtu anaweza kuwa amemegwa but ana adabu zake na ndoa yake ikasimamamy sis ...ndoa sio bed nadhani