Ndo upi tena ndugu yangu?
Yeah its normal
mmh... kweli tunatofautiana sana wajameni!!
mi nilianzaga kupenda kabisa in deep nilipokuwa darasa la kwanza..! nikiwa na miaka saba hivi!
nisdanganye wakuu, msichana niliyempenda enzi hizo, hajanitoka kichwani mpaka leo..
tatizo sasa likaja.. (atakayependa tuendeleze story!! aniambie!!)
excelmmh... Kweli tunatofautiana sana wajameni!! Mi nilianzaga kupenda kabisa in deep nilipokuwa darasa la kwanza..! Nikiwa na miaka saba hivi! Nisdanganye wakuu said:endelea wangu...