Africasana
Member
- Mar 11, 2020
- 15
- 21
Kila la kheri ila happ kwenye umri wa Ke punguza mpaka 32 ushauri tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda jamaa ana kazi nzuri tu, sema anajifanya kama jobless ili apate binti ambaye atamkubli ivoivo bila kazi.Kuwa na uhakika wa kipato kwanza, hao utawapata wengi tu.
Huenda jamaa ana kazi nzuri tu, sema anajifanya kama jobless ili apate binti ambaye atamkubli ivoivo bila kazi.
Anataka kumshangaxa huyo mtarajiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda jamaa ana kazi nzuri tu, sema anajifanya kama jobless ili apate binti ambaye atamkubli ivoivo bila kazi.
Anataka kumshangaxa huyo mtarajiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa na uhakika wa kipato kwanza, hao utawapata wengi tu.
Nadhani hao watakaokuja baada ya kuwa na kipato kizuri watakua wamefata kipato changu na sio kingine
Habari wanajamvi wenzangu!!
Naomba twende moja kwa moja kwenye maada lengwa ili nisiwachoshe
Mm ni jinsia ME, umri wangu miaka 29, mrefu kiasi mwembamba, mweusi kawaida.
Elimu yanngu ni Shahada but sijabahatika kupata kazi, hivo nimejichanganya mtaani kutafuta riziki hapa na pale. Kwa sasa naishi Dar es Salaam japo ni mwenyeji wa Mwanza
Nipo hapa kutafuta mwenza ambae yupo serious na anaejua nini maana ya maisha.
Awe na umri usiopungua miaka 25 na usiozidi 33
Asiwe mlevi (bora awe mnywaji ila sio mlevi)
Awe anaishi Dar au mikoa iliyopo karibu na Dar itakua vizuri zaidi (japo sio muhimu sana), awe na hofu ya Mungu ata kidogo
Mimi ni Mkristo, lakini dini kwangu sio kigezo hata kidogo. Kwa aliyepo tayari naomba anitext DM au email zklevarist@gmail.com
NB: Naomba mawazo ya mtu yaheshimiwe, usicoment matusi tafadhali, huwezi jua nimepitia maumivu kiasi gani mpaka kufikia hatua hii!! Asanteni
ingia badoo wapo wengi sana
Kuwa na uhakika wa kipato kwanza, hao utawapata wengi tu.
Ok, kila la kherHapana mkuu sitaki kuwa muongo! Ni shughuri za hapa mjini tu ilimradi mkono unaenda kinywani. Ningekua na kazi nzuri ningesema!