Serikali ziwaache YANGA na SIMBA

We uko sawa k
Hongera Mohamed Kiganja kwa kumdhibiti Manji aliyetaka kukwapua timu ya Yanga , Hongera Akilimali kwa kukataa rushwa ya mil. 100 .
Akose pesa ya kununulia ndala,akatae mil 100?....akili za kuambiwa hizi ngoja nichanganye....
 
Hongera Mohamed Kiganja kwa kumdhibiti Manji aliyetaka kukwapua timu ya Yanga , Hongera Akilimali kwa kukataa rushwa ya mil. 100 .
Hiyo rushwa akilimali aliikataa wapi?
Na alipewa na nani?
 
BMT kazi yao nini? au nao kaa basata?
 
Umeongea kishabiki hapa kakojoe ukalale
 
"Serkali ziwaache yanga na simba" unataka kusema nini hasa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…