Serikali Zimbabwe Yafunga Internet

Siku wakiizima ya tz .. ama hakika nitapagawa... yaani jinsi nisivyo weza kukaa bila kutumia social media ..daah kichaa kitanihusu ... (I'm so addicted)..

Hahah!, yaani imekuwa essential.
Sidhani kuna mtu anaweza pitisha lisaa bila kuwa somehow Connected.
Iwe personal ama business wise.
Halafu kuna watu wanakupangia wanakwambia hakuna connection "until further notice" 😀

Weee acha tu mkuu " imagine umeme ukikatika tu " then simu yangu ikawa haina charge ... basi kichwa chote nakihisi kina mawenge ...kama zezeta yaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah!, yaani imekuwa essential.
Sidhani kuna mtu anaweza pitisha lisaa bila kuwa somehow Connected.
Iwe personal ama business wise.
Halafu kuna watu wanakupangia wanakwambia hakuna connection "until further notice" 😀
Wee acha tu dada yangu " africa kuna mambo
 
Yaaani ni kichekesho " serikali za africa zipo tayari kukosa mapato yanayo patikana kwa njia ya matumizi ya internet ..ili tu waweze kuzuia " matumizi ya internet yasiweze kusababisha machafuko " .... wakati huo huo serikali hiyo inaugumua homa ya nchi yake kushuka kwa pato la kiuchumi ... Wonder's shall never end
 
I wonder,ilkua worth it kumtoa Mugahe

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishasema na ninasema tena hapa. Wazungu ni wajinha sana na hawatupendi hata kidogo. Walimtoa Mugabe pale ili waimalizie kabisa Zimbabwe maana alikjwa kisiki cha mpingo kwao. Ni kweli alkzeeka sana lakini system yake ilikiwa imejichimbia mizizi. Sasa huyu blaza hawatamkawiza na ndiyo mwisho wa Zimbabwe wasipoangalia. Hawa kina Tundu Lissu na Zitto Kabwe ndicho wanachofanya kwa hapa kwetu. Si watu wa kuwasupport kwa namna yoyote vinginevyo tunataka kufika huko kwa kina Zimbabwe na sisi japo naamini watashindwa. Zimbabwe na wazimbawe wasipoamka mapema wataimaliza hiyo Nchi muda si mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunamwomba Zitto ashinikize balozi wetu nchini Zimbabwe arudishwe nchini kupinga mambo ya hovyo yanayoendelea Zimbabwe
 
Daah kweli ni watu waajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Kwa hiyo vyama sugu tawala viendelee ku mis-behave na wananchi waendelee kuwa wanyonge kwa kudhani Upinzani unatumiwa na Wazungu?!
Okay!...
 
Umemaliza mkuu

Siku africa itakapolifanyia kazi hili wazo lako ndyo siku ambayo tutaanza kuona maendeleo ya kweli kwenye bara letu

Strong institution is the key.....leo hii magufuli ana nguvu kuliko bunge na mahakama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajabu sana tena anajinasibu kabisa kuwa yeye na serikali ndo the top daaaah ujinga huu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaona wapi wakati uko USA unaosha vibibi vizee vya kizungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…