Kama kungekuwa na fedha hizo serikalii ingelipa kwanza madeni ya walimu sababu madeni ya walimu ndio sababu kuu inayo zorotesha secta ya Elimu kwani walimu wanaichukia serikali kama wanavyo wachukia majambazi wanao pora na kuu kisa serikali haitaki kulipa malimbikizo yao