daviey69
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 2,234
- 866
Ofcourse hawajawataja jina kuwa ni Telexfree ila timing ya tangazo kutoka siku ya leo
inakwambia kabisa wanamlenga nani.....lolest.......
Kumbe huko serikalini hamjalala sana eeh? tumechonga sana wiki hii na nyie mkatoa tangazo fasta.......
Yani jinsi walivyofafanua maana ya upatu haramu ni Telexfree tupuuuu, huulizi wanaongelea nini.......
Watu wa Telexfree jueni kwamba serikali itakapoingilia kati kama ilipofanya kwa Deci wakataifisha yale mabilioni ya Deci hakuna hata mwekezaji mmoja alierudishiwa pesa yake
kwa sababu mlikuwa mnacheza mchezo haramu......
Pesa zenu zitatumika kujenga taifa....Which is not such a bad thing after all.....lol....