Serikali yataka Makampuni ya simu kujisajili kwenye soko la hisa, kushindwa kufanya hivyo ni kosa

Asnte kwa hilo haya makampuni yanapata faida kubwa ambayo haipo wazi ushukuriwe kafulila popote ulipo umewahi pigia kelele sana hili suala mungu atakulipa kwa dhamira yako njema dhidi ya taifa hili
 
Back
Top Bottom