Serikali yapeleka shauri mahakamani kukamatwa kwa Lissu, huku wakidai ashapona anazurura ughaibuni, jaji akataa

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Wakili wa Serikali, Simon Wankyo amewasilisha maombi Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu itoe hati ya kumkamata Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu katika kesi ya uchochezi inayomkabili mbunge huyo na wahariri wa gazeti wa la Mawio, amedai mshtakiwa anaonekana akizunguka nchi mbalimbali akitoa mihadhara na huko Ubelgiji anakodaiwa yuko Hospitali haijaelezwa yuko hospitali gani.

Hata hivyo, Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba anayesikiliza shauri hilo, alikataa maombi hayo na akawaonya wadhamini, kukumbuka majukumu yao ya kufika mahakamani na kutoa taarifa za mshtakiwa. #MtanzaniaDigital
 
Back
Top Bottom