Serikali kupitia Mwanasheria Mkuu na Naibu Spika imezungumzia wasiwasi wake khs maandamano yanayosisitizwa na Wabunge wa Chadema wakati wa Uchangiaji wa Hoja ya Waziri wa Mambo ya Ndani.
Wabunge hao wamesisitiza kuyahamasisha pale ikibidi kama Serikali legelege haitajitahidi kujirekebisha ktk kuboresha maisha ya watanzania...!
Mh H Kiwia wa Ilele Mwanza, alikwenda mbali zaidi pale aliposema maandamano kwake ni kama wazazi wake kisiasa, wakati wa Uchaguzi 2010, bila maandamano hayo ya wakazi wa jiji la Mwanza asingeweza kutangazwa Mshindi ktk uchaguzi huo....., alilieleza bunge leo asbh wakati akitoa mchango wake.
Pia amelieleza Bunge kuwa maandamano ya CDM bado hayajaanza hizo ni mvua za rasharasha, siku watakapoona maandamano yanaanzia Mwanza kuelekea DAR na kutoka AR-Town hadi DAR Pia kutoka Singapo hadi DAR basi wajue shughuli pevu imeanza.
2015 haiko mbali. Inshaalah, sijui mtatumia msamiati gani wa kujiliwaza wakati huo baada ya kugalagazwa? Msamiati wa 'KUCHAKACHUA' hautatosha. CDM inabaki kuwa NGO ya Wanung'unikaji.
KISHONGO,
heshima yako mkuu? naomba utambue kuwa hata mwaka 2010 ccm hawakushinda, bali walitumia nguvu ya dola JK kutangazwa mshindi.
rais aliyeshinda kwenye uchaguzi ule alikuwa Dr. W. Slaa.
inatakiwa ujue kuanzia sasa kuwa mwaka 2015 itakuwa ni issue nyingine Mkuu, hakutakuwa ni wizi, maana chadema watadhibiti mpaka kwenye makalio yenu kuhakikisha hakuna karatasi inafichwa. chupi yako itakaguliwa vilevile mkuu.
watu wamechoka na udhalilishwaji wa serikali ya magamba mkuu, najua hata wewe kinakuuma, lakini asante kwa kutusaidia kujitambua mapema, najua vilevile unaipenda chadema ndiyo maana unatusaidia kupata mbinu mbadala wa kushinda kirahisi.
kila mzalendo wa nchi hii ukimchanja damu yake inatoka chadema. hata wewe uko ccm lakini moyoni uko chadema.
asante mkuu
Serikali haiogopi maandamano, tumekuwa tukiandamana kupongeza hotuba ya mwenyekiti wa ccm mara nyingi tu.
Tumekuwa tukiandamana kupongeza hotuba ya rais kila mwisho wa mwezi ama katika baadhi ya matukio kama hotuba ya kulaani nfilamu ya mapanki na hotuba ya mbayuwayu.
Tumekuwa tukifanya maandamano kusherekea sikukuu mbalimbali kama siku ya ukimwi, siku ya mwanamke/mtoto wa kike na mambo mengine kama hayo.
Serikali inachoogopa ni maandamano yanayofanywa na vyama vya upinzani na kwa sasa wanaogopa sana maandamano yanayoitishwa na kuongozwa na chadema.
sasa weewe mwita manyara umeandik nini? ni kama vile umeiponda hoja mwishowe unaiunga mkono ka 100%
au kama kauli ya jk kuwa afrika haijaendelea kwa sababu haina pesa
Inaonekana unaota. Gadafi ameondolewa lini? Na kwa taarifa yako haondoki ng'o, wapinzani wanazidi kushikishwa adabu. Jana wameua kubwa lao bado kuwanyonyoa wanasiasa wao uchwara. Wapinzani wa Tz kama nao wataleta za kuleta.....kama mnavyoota sasa.....mtafanyiziwa (tena kihalali tu) mpaka mtakaposhika adabu. Endeleeni na ndoto za mchana....CCM inajivua gamba kabla ya kujichukulia ushindi wa kishindo 2015. Hakuna upinzani wa kweli Tz, labda utoke CCM.
Ni maneno mazuri ya kujipa moyo, lakini ukweli ni kwamba Wa Tz wako makini, hawakurupuki katika kuchagua. Wanaijua CDM vizuri sana kwamba ni chama cha shari chenye ajenda ya maslahi binafsi ya wanaojidai kuwa ndio wenye chama/kampuni/ngo. Watz hawatakipa kura, sana sana kitarajie kupata kura za wamachinga, wanafunzi waliopotoka kimaadili na machalii kule Kaskazini. Pia ujue, katika zama hizi hakuna kuibiana kura, hicho kisingizio cha kuibiwa kura ilikuwa ni janja ya kuficha aibu ya kushindwa. Usipate kiburi cha 22% uliyopata 2010, hatuuoni muujiza wa CDM wa kuiondoa ccm madarakani, labada atokee mtu ndani ya CCM akimege, ndiye ataweza kutoa changamoto. Natanguliza pole zangu za kupoteza 2015.

hiyo red ni nini???
Mimi naona wewe umeshakula wale samaki walioingizwa kutoka Japan wenye sumu na imeshakuathiri. Hayo unayoongea kuhusu magamba nina imani huwezi kutokea kwa sura yako halisi, kamwe kwa sababu ukweli unaujua. Tangulia ocean road maana samaki hao inaelekea wameshaanza kukufanyizia...
Serikali haiogopi maandamano, tumekuwa tukiandamana kupongeza hotuba ya mwenyekiti wa ccm mara nyingi tu.
Tumekuwa tukiandamana kupongeza hotuba ya rais kila mwisho wa mwezi ama katika baadhi ya matukio kama hotuba ya kulaani nfilamu ya mapanki na hotuba ya mbayuwayu.
Tumekuwa tukifanya maandamano kusherekea sikukuu mbalimbali kama siku ya ukimwi, siku ya mwanamke/mtoto wa kike na mambo mengine kama hayo.
Serikali inachoogopa ni maandamano yanayofanywa na vyama vya upinzani na kwa sasa wanaogopa sana maandamano yanayoitishwa na kuongozwa na chadema.
Dua la kuku.....
Ni maneno mazuri ya kujipa moyo, lakini ukweli ni kwamba Wa Tz wako makini, hawakurupuki katika kuchagua. Wanaijua CDM vizuri sana kwamba ni chama cha shari chenye ajenda ya maslahi binafsi ya wanaojidai kuwa ndio wenye chama/kampuni/ngo. Watz hawatakipa kura, sana sana kitarajie kupata kura za wamachinga, wanafunzi waliopotoka kimaadili na machalii kule Kaskazini. Pia ujue, katika zama hizi hakuna kuibiana kura, hicho kisingizio cha kuibiwa kura ilikuwa ni janja ya kuficha aibu ya kushindwa. Usipate kiburi cha 22% uliyopata 2010, hatuuoni muujiza wa CDM wa kuiondoa ccm madarakani, labada atokee mtu ndani ya CCM akimege, ndiye ataweza kutoa changamoto. Natanguliza pole zangu za kupoteza 2015.

Sawa, lakini ukipenda maandamano usilalame ukipatwa na virungu, manundu, kuvunjwa viuno/shingo/miguu etc. Matokeo ya maandamano yanaweza pia kukufanya uishie mortuary na kesho yake maiti yako ikagombewa kisiasa. Hivyo wapenzi wa maandamano tuwe tayari kwa yote, ndio utamu/adha ya maandamano. Mwenye masikio na asikie.

usisahau kuwa mwanamapinduzi huwa afaidiki na mapinduzi yake lazima hilo nalo ujue mkuu..
huyo na wenje walifanya wakazi zaidi ya 6000 wa jiji la mwanza kukusanyika nje ya office ya jiji kabwe aliwatangaza bila kupenda. Big h. Kiwia nyie ndo wakombozi yuko pamoja.serikali kupitia mwanasheria mkuu na naibu spika imezungumzia wasiwasi wake khs maandamano yanayosisitizwa na wabunge wa chadema wakati wa uchangiaji wa hoja ya waziri wa mambo ya ndani.
Wabunge hao wamesisitiza kuyahamasisha pale ikibidi kama serikali legelege haitajitahidi kujirekebisha ktk kuboresha maisha ya watanzania...!
Mh h kiwia wa ilele mwanza, alikwenda mbali zaidi pale aliposema maandamano kwake ni kama wazazi wake kisiasa, wakati wa uchaguzi 2010, bila maandamano hayo ya wakazi wa jiji la mwanza asingeweza kutangazwa mshindi ktk uchaguzi huo....., alilieleza bunge leo asbh wakati akitoa mchango wake.
HUYO NA WENJE WALIFANYA WAKAZI ZAIDI YA 6000 WA JIJI LA MWANZA KUKUSANYIKA NJE YA OFFICE YA JIJI KABWE ALIWATANGAZA BILA KUPENDA. BIG H. KIWIA NYIE NDO WAKOMBOZI YUKO PAMOJA.Serikali kupitia Mwanasheria Mkuu na Naibu Spika imezungumzia wasiwasi wake khs maandamano yanayosisitizwa na Wabunge wa Chadema wakati wa Uchangiaji wa Hoja ya Waziri wa Mambo ya Ndani.