Serikali yangu ni tajiri, maneno haya yameishia wapi?

viwanda

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
697
749
Nasikitika kwa kusema kuwa msemo huo umepotea kwa haraka sana mdomoni mwa mkuu wa kaya.

Kwanini alikuwa anasema serikali yangu ni tajiri na sasa hasemi tena!!!
 
Huyu alidhani kuongoza nchi ni kama kuendesha familia.

Kwa vile alikuwa amejilundikia vimali ana uhakika wa kula na kuvaa na watoto wake...ana uhakika wa watoto wake kusoma na kupata matibabu wanapougua. Basi akadhani na nchi ndo hvyo hvyo.
 
Nasikitika kwa kusema kuwa msemo huo umepotea kwa haraka sana mdomoni mwa mkuu wa kaya.

Kwanini alikuwa anasema serikali yangu ni tajiri na sasa hasemi tena!!!

Jk alishawahi kuulizwa swali na waandishi wa habari kwa nini wananchi wako ni masikini sana wakati nchi yako ina rasilimali za kutosha jibu lilikua "hata mimi sielewi ni kwa nini"....tumelogwa
 
Back
Top Bottom