Serikali yaamua kufunga uwanja mpya wa Taifa

Looooooooooooooooooh. Kurithishana kumeanza tena. Ni yale yale ya Ubungo Bus Terminal. Naamini hapa M.P Environment atapewa!!!!!! Guess who owns it!!!!!??? Ni yule yule wa Ubungo, ni yule yule wa Parking Systm, ni yule yule amepewa tender ya usafi manispaa ya temeke (sijui kama manispaa zingine yupo, japo kwa kupitia kampuni tofauti!!!), you name all. Ni mtandao wa kula unatengenezwa. Hakuna cha kuboresha huduma wala nini!!!!
 


Watajidai eti Serikali haifanyi biashara!!!!!!!!!!!!!
 
Kwanini JF isipewe uwanja huo? Ninahakika litafanyika vizuri
 
Vichekesho! Kwani haijulikani ticketi zimechapishwa ngapi?

Total number of tickets - Unsold tickets = Sold tickets

Then waweke ile milango ya kuzunguka inayohesabu, idadi ikitofautiana tunajua ni wizi.

There nimeiokoa serikali! kweli JF tupewe tenda!
 
Uwanja upi?'TANZANIA NATIONAL MAIN STADIUM'au mwingine?
NAOMBA UNISAIDIE KAMA HILO JINA KIMOMBO CHAKE KIPO SAWA.KAMA SIO NDIO KIGEZO CHA MAPATO KIDOGO(iwapo ndo uwanja wanaongelea)
 

Si useme tu KINGUNGE unaficha nini bana?? Huyu mzee kaifisadi hii nchi, lakini bado haoni aibu...
 
Sasa wanafunga uwanja wakati haujafunguliwa rasmi! Sikumbuki mechi rasmi ya ufunguzi ilikuwa ipi - kulikuwa na ndoto ya kuletwa Real Madrid.
 
Si useme tu KINGUNGE unaficha nini bana?? Huyu mzee kaifisadi hii nchi, lakini bado haoni aibu

NDIO MAANA RAISI AKIJA ANAJIPENDEKEZA AIRPORT HATA KAMA USIKU BADALA YA KUKAA NA MKEWE ;TANGU UHURU KAKO NA SIASA SIJUI MKEWE ANA KAA NAE MUDA GANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…