Serikali ya WAKULIMA

Serikali ya WAKULIMA

Philipo Mwakibinga

Senior Member
Joined
May 13, 2013
Posts
110
Reaction score
175
UBADHIRIFU,wa pesa za umma uliofanywa na serikali kuu kwakipindi cha mwaka 2008 pekee, NI Tsh,772,392,715,400/=
Pesa hizi kama zingetumika kununua matrekta kwaajili ya kuboresha kilimo kwa bei ya Tsh,20,000,000/= KWA KILA MOJA
PANGE PATIKANA MATREKTA,3,862,ambayo ni wastani wa matrekta MAWILI katika kila KATA kwa TANZANIA NZIMA.
 
Democracy bring leaders who have no confidence in their financial security. they treat the 5 or 10 years term like havesting time. Our solution is Kingdom of heaven under messiah.
Mwenge (nuru) mean CHRIST. PALE GIZA LINAPOKUWA TOTORO JUA YA KWAMBA ASUBUHI INAKARIBIA.
 
UBADHIRIFU,wa pesa za umma uliofanywa na serikali kuu kwakipindi cha mwaka 2008 pekee, NI Tsh,772,392,715,400/=
Pesa hizi kama zingetumika kununua matrekta kwaajili ya kuboresha kilimo kwa bei ya Tsh,20,000,000/= KWA KILA MOJA
PANGE PATIKANA MATREKTA,3,862,ambayo ni wastani wa matrekta MAWILI katika kila KATA kwa TANZANIA NZIMA.
Bajeti ya maendeleo wizara ya kilimo na huko ufugaji haijatekelezwa hata kwa 20% tokea awamu hii iingie lakini kwa kulifahamu hilo bado umeenda kujiunga nao.... Are you out of ur mind?? 🤣 🤣

Nlikua nakuonaga potential sana enzi hizo BAVICHA ila umekua wale wale tena worse kuliko hata mafisadi wa CCM!!!
 
Back
Top Bottom