Serikali ya Rwanda yampongeza Magufuli kwa kusafisha uozo Bandari ya Dar

Manelezu

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
1,908
2,773
Serikali ya Rwanda imempongeza Rais John Pombe Magufuli kwa kusafisha uozo uliokuwa umekithiri bandari ya Dar es Salaam ambapo imesaidia kuweka mazingira mazuri na kuendeleza biashara kati ya Tanzania na Rwanda. kwa habari zaidi fuatilia link hapa chini.

Rwanda hails JPM for cleansing Dar Port
 
Back
Top Bottom