Serikali ya Rais Samia imefilisika?

Mleta mada ni mchawi tu. Ni mtu unayetamani mambo yakwame. Watu kama nyie mmelaaniwa.



YESU NI BWANA
 
Hapo umejibu hoja masikini poor ,you
 
Sijui shida iko wapi
 
nafikiri lengo la ujumbe wako ni kuhusu ajira za jana, ilo la barabara umechomekea tu

kiukweli kuajiri mtu wa 2021 ukamuacha wa 2015 ni us*nge wa hali ya juu
Innocent Bashungwa Ni Useless kabisa
 

Jiwe alifisika akaanza kukwapua hela kwenye akaunti zetu sheitwaniiiii yule.
 
Mbio za sakafuni……..

Kila kitu kitakuwa wazi muda si mrefu.

Kwa sasa bado wapo in denial
 
Huwezi kufanya mambo yote kwa wakati mmoja,hizo resources yeye atazitoa wapi-mna taka ajira at the same time unataka Barabara,SGR,Bwawa vyote vitekelezwe.
Ebu jaribu wewe mwenyewe kwa kipato chako ulicho nacho sasa hivi nunua gari,jenga nyumba,anzisha biashara na hudumia familia-fanya vyote kwa wakati mmoja kama utaweza.
 
Magu ndo amesababisha haya yote,kukaa kwake madarakani akazuia ajira ndio maana idadi imefikia hiyo 120000+ waombaji wa nafasi za ualimu na afya.
Anza kumlaumu Magu kwanza halafu utuite tujadili haya ya Mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…