Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,517
- 11,388
Kwani kuna serikali ya Samia suluhu Hassan? au Kuna serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania?🤔Hope mko poa
Ni ukweli husiopingika serikali ya SSH Ina hali mbaya Sana kifedha.
Ntatoa mifano miwili, toka JPM afariki dunia, ujenzi wa barabara nyingi umesimama, hakuna hekaheka za ujenzi wa miundombinu Kama zamani, serikali inadaiwa Sana na wakandarasi, wanaojenga na walioijenga barabara. Huwezi amini until now SGR Dar-moro bado imedoda, Dar-makutupora Dodoma ujenzi unasuasua, bwawa la umeme ndo kabisa hakuna updates yeyote.
Kwenye ajira, serikali ilitangaza kwa mbwembwe kuajiri walimu na watahalamu wa kada ya afya. Tuna watoto wetu na watoto wa ndugu zetu wamesomea izo kozi.
Serikali ya SSH katika walimu 120000+ imeajiri walimu9800. Na sahivi hawataki kabisa kuajiri watu wa shahada, wanajaza walimu wa Certificates na Diploma.yaani dunia ya Leo marekani, Kenya, UK, Nigeria mtoto wa Chekechea anafundishwa na mtu mwenye masters, lakini Tanzania kidato Cha nne anafundishwa na mtu wa Diploma (aliyeferi form six)
Ni dhahiri serikali haina hela ya kuajiri, haina hela ya kuajiri walimu wa Degree, sahivi vijana wanahali mbaya Sana, ajira hamna, bihashara zao haziendi, TRA wanawakaba mwanzo mwisho, wakiamua kuwa bodaboda, Petroli imepanda Bei.
Kwenye kada ya afya wamegoma kuchukua wauguzi wenye diploma na degree,wamechukua wenye certificates. Hadi wenye certificates walioomba wameisha na nafasi zimebaki wazi,eti wanatangaza upya, hivi Ni dhambi mgonjwa kuhudumiwa na mtu mwenye degree ya Nursing??
Sahivi vijana wengi wanasema Degree ni Useless maana serikali haitaki kuwaajiri
Kwa Sasa serikali ya SSH, imefulia Sana, ndo maana wanakopa mikopo kujenga madarasa.
Angalia hii watoto wa watanzania 120000+ wanaomba kazi serikali inachuku 9800, Tena 70% Ni certificate na Diploma ili iwe rahisi kuwalipa
View attachment 2274041
Kwa hiyo kutokuwepo kwa maigizo unayoita hela heka ndio kufilisika sio? 😂😂😂😂..Hope mko poa

Anachekesha huyu, serikali inatoa maelfu ya ajira harafu eti imefikisika 😬😬Unateseka ukiwa kijiji gani?
Amesema ujenzi mwingi umesimama cio utalii wee jamaaKwa hiyo kutokuwepo kwa maigizo unayoita hela heka ndio kufilisika sio? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Uliza wakandarasi au tembelea site.. Serikali ya Jiwe ndio ilifilisika ila sio Serikali ambayo watalii na wawekezaji wanamiminika kama hii[emoji116]
Ili ujenzi usimame lazima kusiwe na pesa,sasa ametaja ujenzi upi huo uliosimama?Amesema ujenzi mwingi umesimama cio utalii wee jamaa
Si usome tena alichoandikaIli ujenzi usimame lazima kusiwe na pesa,sasa ametaja ujenzi upi huo uliosimama?
Magufuli na genge lake pia walicontribute Sana kuinstill hii mentality ya ucheap labour , Kwanza alikuwa aajiri na akiajiri ni wachache tena embarrassingly certificates , yaani li nchi linaendekeza mediocrity na inferiorism .Ni mambo ya ovyo Sana hii nchi .Hope mko poa
Ni ukweli husiopingika serikali ya SSH Ina hali mbaya Sana kifedha.
Ntatoa mifano miwili, toka JPM afariki dunia, ujenzi wa barabara nyingi umesimama, hakuna hekaheka za ujenzi wa miundombinu Kama zamani, serikali inadaiwa Sana na wakandarasi, wanaojenga na walioijenga barabara. Huwezi amini until now SGR Dar-moro bado imedoda, Dar-makutupora Dodoma ujenzi unasuasua, bwawa la umeme ndo kabisa hakuna updates yeyote.
Kwenye ajira, serikali ilitangaza kwa mbwembwe kuajiri walimu na watahalamu wa kada ya afya. Tuna watoto wetu na watoto wa ndugu zetu wamesomea izo kozi.
Serikali ya SSH katika walimu 120000+ imeajiri walimu9800. Na sahivi hawataki kabisa kuajiri watu wa shahada, wanajaza walimu wa Certificates na Diploma.yaani dunia ya Leo marekani, Kenya, UK, Nigeria mtoto wa Chekechea anafundishwa na mtu mwenye masters, lakini Tanzania kidato Cha nne anafundishwa na mtu wa Diploma (aliyeferi form six)
Ni dhahiri serikali haina hela ya kuajiri, haina hela ya kuajiri walimu wa Degree, sahivi vijana wanahali mbaya Sana, ajira hamna, bihashara zao haziendi, TRA wanawakaba mwanzo mwisho, wakiamua kuwa bodaboda, Petroli imepanda Bei.
Kwenye kada ya afya wamegoma kuchukua wauguzi wenye diploma na degree,wamechukua wenye certificates. Hadi wenye certificates walioomba wameisha na nafasi zimebaki wazi,eti wanatangaza upya, hivi Ni dhambi mgonjwa kuhudumiwa na mtu mwenye degree ya Nursing??
Sahivi vijana wengi wanasema Degree ni Useless maana serikali haitaki kuwaajiri
Kwa Sasa serikali ya SSH, imefulia Sana, ndo maana wanakopa mikopo kujenga madarasa.
Angalia hii watoto wa watanzania 120000+ wanaomba kazi serikali inachuku 9800, Tena 70% Ni certificate na Diploma ili iwe rahisi kuwalipa
View attachment 2274041
Bajeti mpya inaanza July mosiIli ujenzi usimame lazima kusiwe na pesa,sasa ametaja ujenzi upi huo uliosimama?
Wewe wakandarasi wa miradi mikubwa hawasubilii mambo ya bajeti bali wanaendelea na Kazi..Bajeti mpya inaanza July mosi
Ni suala dogo la muda kidogo tu hapo.hakuna ukweli sana wakandarasi wanaojua mfumo wa bajeti ya Serikali unavyofanya kazi wako kazini kama kawaida
Sijasema wamesimama wa muda mrefu hata hao wa miezi sita wanatakiwa kujua budget circle ya SerikaliWewe wakandarasi wa miradi mikubwa hawasubilii mambo ya bajeti bali wanaendelea na Kazi..
Wanaosubilia bajeti ni Hawa wa miezi 6 nk ila Mkandarasi mwenye contract ya zaidi ya mwaka anahitaji pesa sio bajeti..
Ndio maana nauliza Mkandarasi yupi amesimamia ujenzi?
Daah..walimu graduates mnashida gani..mbona ni watu wa kulialia sana.Hope mko poa
Ni ukweli husiopingika serikali ya SSH Ina hali mbaya Sana kifedha.
Ntatoa mifano miwili, toka JPM afariki dunia, ujenzi wa barabara nyingi umesimama, hakuna hekaheka za ujenzi wa miundombinu Kama zamani, serikali inadaiwa Sana na wakandarasi, wanaojenga na walioijenga barabara. Huwezi amini until now SGR Dar-moro bado imedoda, Dar-makutupora Dodoma ujenzi unasuasua, bwawa la umeme ndo kabisa hakuna updates yeyote.
Kwenye ajira, serikali ilitangaza kwa mbwembwe kuajiri walimu na watahalamu wa kada ya afya. Tuna watoto wetu na watoto wa ndugu zetu wamesomea izo kozi.
Serikali ya SSH katika walimu 120000+ imeajiri walimu9800. Na sahivi hawataki kabisa kuajiri watu wa shahada, wanajaza walimu wa Certificates na Diploma.yaani dunia ya Leo marekani, Kenya, UK, Nigeria mtoto wa Chekechea anafundishwa na mtu mwenye masters, lakini Tanzania kidato Cha nne anafundishwa na mtu wa Diploma (aliyeferi form six)
Ni dhahiri serikali haina hela ya kuajiri, haina hela ya kuajiri walimu wa Degree, sahivi vijana wanahali mbaya Sana, ajira hamna, bihashara zao haziendi, TRA wanawakaba mwanzo mwisho, wakiamua kuwa bodaboda, Petroli imepanda Bei.
Kwenye kada ya afya wamegoma kuchukua wauguzi wenye diploma na degree,wamechukua wenye certificates. Hadi wenye certificates walioomba wameisha na nafasi zimebaki wazi,eti wanatangaza upya, hivi Ni dhambi mgonjwa kuhudumiwa na mtu mwenye degree ya Nursing??
Sahivi vijana wengi wanasema Degree ni Useless maana serikali haitaki kuwaajiri
Kwa Sasa serikali ya SSH, imefulia Sana, ndo maana wanakopa mikopo kujenga madarasa.
Angalia hii watoto wa watanzania 120000+ wanaomba kazi serikali inachuku 9800, Tena 70% Ni certificate na Diploma ili iwe rahisi kuwalipa
View attachment 2274041
Tumekaa kisiasa mnoKwani kuna serikali ya Samia suluhu Hassan? au Kuna serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania?🤔
Nakazia,Huyo Magu unamsifia aliajiri wangapi yeye?