Serikali ya Eritrea yatoa amri kila mwanaume kuoa wake wawili

Hahhahaha lol,mm nahs hapa kwetu waruhusiwe hata watatu watatu
Nifah umenchekesha kwel
Tatzo lao wanapenda sana chpsy ndo maana kitandan zero
 
Hapana,mimi ni one man type of....
Sipendi sharing ktk mapenzi.
Kwahili tu mimi ni selfish vibaya sana.
Hiyo sasa Roho mbaya Nifah! Wewe kila siku ukiambiwa ule magimbi na juice ya viazi asubuhi...mchana na jioni utaweza
 
Hahhahaha lol,mm nahs hapa kwetu waruhusiwe hata watatu watatu
Nifah umenchekesha kwel
Tatzo lao wanapenda sana chpsy ndo maana kitandan zero
Ila hilo tatizo laweza kua la kweli.. Hao mnaokutana nao Ni kuwa Wa nashindwa kusimamisa? Au wanashindwa kukojoa goli 3+ au wakoje!?

Mungu Wa majeshi na unilinde ee bwana.
 

mkuu tupe link
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…