SERIKALI YA CCM WANAAMINI WATANZANIA WOTE NI WAJINGA

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
Nimesikia Eti Eti Eti Gharama hizo za umeme zitawahusu wanaonunua Units kwanzia 70+, Eti Eti Mnyonge hapo himhusu, Sasa kwa akili ya kawaida Huyu mnyonge pia inamhusu maana Akina MO na Bakresa Lazima wataongeza Bei ktk bidhaa zao, kutokana na gharama za uzalishaji maana yake Fursana Tutanunua 550 hamsini Labda kama Fursana Inawahusu matajiri wanyonge tutakuwa tumepona, Azania Nao lazima waongeze kidogo Bei ya unga wa ngano, Hivyo Andazi Tutegemee 250-300, JE Wajua Bei Ya kilo ya Unga Imepanda kutoka 1kg1000 Hadi 1500?? Sawa na ongezeko LA 100% Kama hujui ujue mpaka Leo unakula kwenu NOTE, Trillion 29.8 Iliyopitishwa kama Budget Unayo wewe Sio kwamba IPO Hazina, Kijiji cha mbigili kilichopo kilolo mkoani IRINGA Tunasubiri Million 50 Tupanue kilimo cha vitunguu na Matikiti maji@ Goliath Mwacharandula Mfalamagoha Amen Upcoming feminist
 
Units 70+!!? mbona mimi kwa mwezi natumia zaidi ya hizo kwa mbali sana,heh!!kumbe mimi sio mnyonge
 
Sio kila kiti kinachopanda kwenye gharama za uzalishaji basi lazima bidhaa ipande. Wakati mwingine bidhaa haipandi kutokana factor nyingi za kiuchumi ambazo ni ushindani soko demand n.k kutokana factor hizi mzalishaji hukubali kupunguza profit margin yake ili bidhaa yake iendelee kuwa sokoni. Hujawahi kuona bidhaa au huduma hushuka ama hupanda kuliko bei elekezi? Jiulize kwanini.
 
Walituambia hivyo hivyo kwenye vocha za simu eti VAT haitawahusu walaji leo tunatozwa wao wako kimya.
 
-->>UKIPANDISHA UMEME,DEISEL,PETROLEUM...ANAYEUMIA NI "KAPUKU"/
IMG_20161231_095910_269.jpg
 
Mbona maajabu? Yaani anayenunua umeme unit70+ siyo mlalahoi??
Hii nchi bhana, kununua unit mfano 100 haimanishi huyu mtu si mlalahoi, ni budget yake anaamua kujikaza apate umeme wa kutumia mwezi mzima ili kama anategemea kamshahara asije akaishiwa hapo katikati akashindwa kununua hata unit 2,
Otherwise watoe hiyo tafsiri ya unit70+ kwamba anayezinunua si mlalahoi...
 
Chin ya unt 70 sarun nayo ile shevu ukaoshe kwenu ila izi za mjini babashop zinazidi
 
kwenye hili haihitaji degree kujua itamuumizaje mtumiaji mdogo..
asipoonja machungu hayo kwenye units ataonja kwenye bidhaa za viwandani,
NAOTA ILE SUKARI YA 1800, sijui itakuja kwenye ongezeko hili ?
 
Sio kila kiti kinachopanda kwenye gharama za uzalishaji basi lazima bidhaa ipande. Wakati mwingine bidhaa haipandi kutokana factor nyingi za kiuchumi ambazo ni ushindani soko demand n.k kutokana factor hizi mzalishaji hukubali kupunguza profit margin yake ili bidhaa yake iendelee kuwa sokoni. Hujawahi kuona bidhaa au huduma hushuka ama hupanda kuliko bei elekezi? Jiulize kwanini.
Hoja yako ni dhaifu kiasi fulani.

Nataka kukuelewesha au kukumbusha kwa namna moja au nyingine ya kwamba cost of production ndio is the main component inayopelekea badiliko la bei sokoni. Na ukicheki kwa undani zaidi unaweza kuona power ni direct cost yenye effect kubwa katika production of commodity.

Na kwa upande wa pili economic na market factor ina less impact katika determination of price.

Na economic status ni factor kubwa sana inaweza kuunganisha cost effectiveness,demand and supply,purchasing power of customers, market factor and so on.

Goverment policies, ni factor nyingine kubwa baada ya cost of priduction yenye impact kubwa inayopelekea price determination. Mfano wa moja za sere za serekali ni tax, price fixation regulation, political, and other factors. Kama serekali ikichokonoa bei ya upatikanaji wa vyanzo vya nishati inaweza kuwa direct component inayopelekea price flactuation.

Kwa faida yako kuna other factor inayodetermine price of commodity lakini the main factor ni cost of production. Na nikisema cost production kuna direct na indirect. Katika direct factor inatengenezwa na variables moja wapo kubwa zaidi ni energy factor.
 
Sio kila wakati cost of production inaongeza bei ya bidhaa kwanini uwe na uhakika kwamba bidhaa zitapanda bila kuangalia uwezekano wa kutopanda. Nimewahi kumiliki kiwanda najua nimewahi kumiliki biashara ya kuuza na kununua najua pia na sasa ninamiliki zaidi ya heka mia moja rufiji nalima mpunga mahindi mboga mboga najua halikadhalika nina mifano hai mingi tu kama unataka elimu sema nikupe hapa ila kama unataka ubishi am out.
 
Mbona maajabu? Yaani anayenunua umeme unit70+ siyo mlalahoi??
Hii nchi bhana, kununua unit mfano 100 haimanishi huyu mtu si mlalahoi, ni budget yake anaamua kujikaza apate umeme wa kutumia mwezi mzima ili kama anategemea kamshahara asije akaishiwa hapo katikati akashindwa kununua hata unit 2,
Otherwise watoe hiyo tafsiri ya unit70+ kwamba anayezinunua si mlalahoi...
Sio kununua ni kutumia.....
 
Sio kila kiti kinachopanda kwenye gharama za uzalishaji basi lazima bidhaa ipande. Wakati mwingine bidhaa haipandi kutokana factor nyingi za kiuchumi ambazo ni ushindani soko demand n.k kutokana factor hizi mzalishaji hukubali kupunguza profit margin yake ili bidhaa yake iendelee kuwa sokoni. Hujawahi kuona bidhaa au huduma hushuka ama hupanda kuliko bei elekezi? Jiulize kwanini.
Hasa ww!
 
Back
Top Bottom