mwalim pambana kumuokoa huyo mwanafunzi, usilalamike hapa, hilo ni jukumu lako huyo mtoto akae sawa
Fikiri mara 3 kabla yakujibu, so mimi ndio nimfundishe KKK, kwa level yangu sikwenda chuo kufundisha KKK
Pili soma uelewe dhima ya Andiko langu
Ila ualimu bhana! Kazi kweli!
Usikute wewe una degree halafu mshahara unazidiwa na nesi wa certificate pamoja na suruba hizo zote.Ngoja nikuulize mwl kwahiyo hapo elimu yako unapokuwa porini huko unaifaidii kweli maana mi huwa naona wasomi walioko porini wanazidiwa hata na drs la 7 wa Tandare
Hakuna lugha nzuri inayokufaa ndugu kama hii " Dont argue with a Fool"
Na lugha mbaya zaid ni hii " usilolijua....."
Moderate language sikuitumia hapo, ningeitumia basi ningetumia kanuni ya Biblia inasema "MPUMBAVU MJIBU SAWASAWA NA UPUMBAVU WAKE"
karibu tena Bro/sis
Inawezekana hujui unalolizungumza, na kumponda mwalim sijui inaonyesha ww ni mtu wa aina gani, roma kusema hayo maneno ni alipotoka kama ambavyo ww unajaribu kupotoka, hakuna mwalim aliyefeli siku hizi.Limekutouch?,tatizo walimu hamjitambui sijui zile shikamoo za watoto zimewaathiri?
Yaani katika watumishi wa serikali hawa jamaa wapowapo tu mi huwa siwaelewi kabisa ndo maana maana Roma alisema ualimu ni kimbilio la waliofell.Nimegundua kitu ndo maana rais Kikwete aliwaambia waache kazi wakanywea.sorry Dumelang
Inawezekana hujui unalolizungumza, na kumponda mwalim sijui inaonyesha ww ni mtu wa aina gani, roma kusema hayo maneno ni alipotoka kama ambavyo ww unajaribu kupotoka, hakuna mwalim aliyefeli siku hizi. Watu wamegundua kazi ya ualim ni kazi nzuri na ndo mana wanaikimbilia
Limekutouch?,tatizo walimu hamjitambui sijui zile shikamoo za watoto zimewaathiri?
Yaani katika watumishi wa serikali hawa jamaa wapowapo tu mi huwa siwaelewi kabisa ndo maana maana Roma alisema ualimu ni kimbilio la waliofell.Nimegundua kitu ndo maana rais Kikwete aliwaambia waache kazi wakanywea.sorry Dumelang
wanaikimbilia baada ya kuona hakuna namna hivi kweli una one au two nzuri kabisa unaweza kufikiria kwanza ualimu?we mwenyewe sidhani kama ulikuwa unwaza kuchezea vumbi la chaki.Haya Roma alipotoka vp rais nae aliposema ''ambae anaona mshahara ni kidogo aache kazi'' na mgomo wenu ukaishia hapo naye alipotoka?ila ngoja nikwambie UALIMU NI DARAJA LINALOPITISHA WAJANJA KWENDA KWENYE MAFANIKIO.Ndo maana shughuli zote za suruba za serikali wanapewa walimu.mfano kuandikisha wapiga kula vijijini,sensa sababu ni daraja
Limekutouch?,tatizo walimu hamjitambui sijui zile shikamoo za watoto zimewaathiri?
Yaani katika watumishi wa serikali hawa jamaa wapowapo tu mi huwa siwaelewi kabisa ndo maana maana Roma alisema ualimu ni kimbilio la waliofell.Nimegundua kitu ndo maana rais Kikwete aliwaambia waache kazi wakanywea.sorry Dumelang
Ninachoamini ni hiki kama umewaikwenda shule, possibility hujaenda shule ni kubwa, lakn kama ulibahatika kwenda shule basi huyo asiejitambua amewai kukutiisha, [u[amewai[/u] kukutoa ujinga, umewai mtii na kumsikiliza, umewaipiga magoti chini yake, amewai kukuamuru ukaenda zaid sana umewai kuwa mtumwa kwake.
Una akili kidogo sana natamani nikufahamu kwa sura, kila anaesema mimi msomi nyuma yake anasema alikuwepo mwalimu fulani
Dah! Hadi nimecheka peke yangu kwahiyo ndo unataka kunithibitishia kuwa hii ndo hali ya walimu wa watoto ilivyo?
Sasa kama mwlim hujui kuandika ndo hasira zako unahamishia CCM?
UALIMU-kada ya watumishi wasiojitambua
UALIMU-kada ya watumishi wanaopenda kuinung'unikia serikali halafu bado inawatumikisha kwenye kazi za suruba na malipo kidogo
UALIMU-kada ya watumishi walevi wanaotesa kwe vilabu vya mataputapu tena kwa mikopo
UALIMU-Kada ya watumishi wenye madeni mengi mtaani na kwenye taasisi za kifedha kuliko kada zote
UALIMU-KADA YA WATUMISHI WALIOFELL SHULENI NA KUKIMBILIA HUKO BILA MAPENZI TOKA MOYONI
Kwa nini unatukana na kudhihaki walimu namna hiyo?
Kwani huoni mchango wa walimu katika maisha yako? Bila hao walimu sidhan kama ungeweza hata kuandika hayo matusi yako hapa.