shungurui
JF-Expert Member
- Sep 1, 2008
- 3,765
- 5,160
Kabla ya uhuru Tanzania ilikuwa nchi ya vyama vingi, pamoja na kuwa kilikuWa na vyama vingi vyote kwa pamoja viliungana ili kuunganisha nguvu na kumtoa mkoloni.
Lakini kutokana na ubinafsi na uroho wa madaraka ya viongozi wa serikali ya CCM wamewasaliti wananchi wao kwa kuwatawala kwa mabavu,kuwanyanyasa na kuwaua wananchi pamoja na kufuja mali za umma.
Pamoja na kupigiwa kelele nyingi na tume nyingi kuundwa na kuonyesha mapugufu mengi katika katiba iliyopo kuwa ni katiba inayomgandamiza mwananchi bado serikali ya CCM imekaa kimya kwa inawanufaisha watawala serikali ya CCM.
Pia pamoja na kelele nyingi kuhusu ufujaji wa mali za umma kiasi kwamba wananchi hawanufaiki nazo lakini serikali ya CCM imekaa kimya tena zaidi utasikia matamko kuwa waacheni wazee wapumzike tutawalinda kwa nguvu zote anasema haya maana yeye anajua atakuja kulindwa kama anavyolinda wenzake.
Siku zote mimi naamini yupo mtetezi wa wanyonge na anaona yote yanayoendelea ni suala la muda tu huyu mtetezi atanunua kesi.
Kama Tanzania na nchi nyingine zilinunua kesi ili kukabiliana na Kaburu kule south Africa kwa hiyo naamini kuna watu wako tayari kununua kesi zidi ya wanyonge wanao nyanyaswa katika nchi yao.
Serikali ya ccm msisubili mtu akanunua kesi Kama kule Gambia na ninaamini majeshi yetu yemejifunza kitu katika hili kwa hiyo msitegemee majeshi yataendekea kubariki maovu yenu.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake.