Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 CCM walitoa ilani ya uchaguzi watakaotumia pindi watakaposhinda uchaguzi je ilani hiyo inatumika na kama haitumikii ifikapo 2020 mtawaambia nini watanzania. Kuna maswali mengi yanayowasubiri 2020 kwa mfano :
1. Ajira
2. Maisha bora kwa mtanzania
3. Uchumi.
4. Mahusiano ya serikali na wafanyabiashara.
5. Mahusiano ya serikali na wawekezaji
6. Kuboresha mishahara ya wafanyakazi
7. Sekta afya kuwa na hali mbaya sana
8. Usalama wa raia (kukamatwa na kutekwa kwa watu)
Hayo juu ni baadhi ya maswali ambayo chama cha mapinduzi ijitayarishe kukutana nayo wakati wa uchaguzi mkuu ujayo.