Serikali Wakumbukeni Na Hawa

Serikali Wakumbukeni Na Hawa

Sikutambua

Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
46
Reaction score
5
Naipongeza Serikali Yetu Sikivu Kwa Kutoa Ajira Za Walimu Na Pia Walimu Wapya Hongereni Sana. Jamani Kuna Baadhi Ya Sekta Hadi Mtu Analaani Kwa Nini Alisoma, Naomba Serikali Izifikirie Sekta Hizo Kama Kilimo, Mifugo Na Nyinginezo.
 
Hapana mtoa maada, sekta za Kilimo na Mifugo zimekuwa zinaajiri watu direct. Tatizo moja ninaloona kwa sekta hizo ni wahitimu kutaka kuwa mjini tuu, hebu fikiri wewe upo afisa kilimo Dar-Ilala (Town Centre) kweli hapo mtakuwa wangapi? Natambua wanahitajika kwa ushauri kwa wahitaji lakini si kwa wingi kama vijijini kwa wakulima na wafugaji!
 
Upo sahihi kwa namna moja ila kiuharisia ndg ulaji kwa sekta zingne ni mgumu sio siri ata km wapo dar ila kumbka huku ndiko mipango mingi hufanywa, watu wanakaa huku kujua wap upepo unakovuma maana matangazo yanatolewa huku ya ajira lakn vjijin unakodai ajira ndiko zlipo hamna hata gazet atazipataje hizo ajira?
 
Naomba Nikujulishe Kuwa Kuanzia Mwaka Jana Wizara Ya Kilimo Imesitisha Kuajiri Direct Badala Yake Walianzisha Utaratibu Wa Kuomba Na Kufanyiwa Usaili, Pamoja Na Hilo Bado Nafasi Wanazotangaza Ni Chache Ukilinganisha Na Idadi Ya Wahitimu Na Mahitaji Ya Wataalam Vijijini, Serikali Iliangalie Hili.
 
  • Thanks
Reactions: ELX
Upo sahihi kwa namna moja ila kiuharisia ndg ulaji kwa sekta zingne ni mgumu sio siri ata km wapo dar ila kumbka huku ndiko mipango mingi hufanywa, watu wanakaa huku kujua wap upepo unakovuma maana matangazo yanatolewa huku ya ajira lakn vjijin unakodai ajira ndiko zlipo hamna hata gazet atazipataje hizo ajira?

Naomba Nijibu Hili, Dunia Leo Imekuwa Kijiji Hivyo Unaweza Kuwa Kijijini Lakini Taarifa Ukazipata Hata Kwa Kupanda Juu Ya Mti Kutafuta Mtandao Wa Simu, Pia Wataalam Wote Wanafundishwa Kuishi Mahali Popote Pale Ambapo Kuna Makazi Ya Watu, Kwa Hiyo Anaekataa Kwenda Kijijini Ana Suala Lake Binafsi
 
Naipongeza Serikali Yetu Sikivu Kwa Kutoa Ajira Za Walimu Na Pia Walimu Wapya Hongereni Sana. Jamani Kuna Baadhi Ya Sekta Hadi Mtu Analaani Kwa Nini Alisoma, Naomba Serikali Izifikirie Sekta Hizo Kama Kilimo, Mifugo Na Nyinginezo.

Na Tourism sector
 
Na Tourism sector

Dada yetu Tamalisa kuna huu utaratibu wa watu kuelekea vyuoni kusomea chochote....yaani akiwa hana loop ni nini cha kufanya baada ya kutoka chuoni!

Kama unapenda utangazaji usisomee Udaktari kisa tu unafaulu Biology na Chemistry darasani. Somea utangazaji. Utafanya vizuri zaidi. Watu wengi waliofanikiwa duniani wamefanya vitu wanavyovipenda!

Kama umesomea fani usiyoipenda kisa tu umeambiwa ina kazi za haraka haraka au ina hela umepotea. Siku ukimaliza kusoma usipate kazi au ukapata kazi lakini isiwe na hela kama ulivyotarajia utapata fadhaa na huenda kuchukia wale waliokushauri!

Kama umesomea kitu usichokipenda achana nacho, fanya kile unachokipenda na kinachokupa amani. Kama umesomea Sheria wakati moyo wako upo kwenye biashara ni ngumu sana kufanikiwa kupitia sheria. Achana na sheria, fanya biashara.
 
Last edited by a moderator:

Hilo ni kweli na hiyo ni mada nyingine kabisa ambayo kama ingeletwa hapa tungeijadili kivyake. Kwani mimi kuandika Tourism sector umewaza nini?
 
Elewa wizara ya kilimo inaajiri kwenye sekta zake kama utafiti na waalimu wa vyuo,hao wengine wanaajiriwa na halmashauri husika
 
Mtu akisema alisomea kitu fulani kisha hana kazi ya kufanya mara nyingi nawaza mtu huyo hakuwa na plan wakati akisoma alichosoma!

Mark Zukerberg mmiliki wa mtandao wa Facebook alikuwa anasomea shahada ya Uhandisi wa Computer akakosana na mkufunzi wake.Kama ilivyo kwetu alilazimishwa kukariri "Laws" za Pysics na za kina Gallileo Gallilei wengineo, lakini Mark hakutaka kukariri vitu vya watu, alitaka kubuni vya kwake.

Alipoona hawaelewani na mwalimu akaacha shule akaenda kufanya kitu alichokipenda na leo amefanikiwa sana. Leo Mark yupo kwenye list ya matajiri 10 wa dunia.

Mwanamuziki wa Congo aitwae Antoine Christopher Agbepa Mumba maarufu kama "Koffi Olomide" alisomea shahada ya Uchumi. Akafanya kazi kidogo bank. Lakini akaona anafanya kitu asichokipenda, maana moyo wake wote ulikuwa kwenye muziki. Akaachana na bank akaingia kwenye muziki na amefanikiwa kwa kiasi kikubwa....Yatosha kukuonesha kwamba ulipo moyo wa mtu ndipo hazina yake ilipo!
 
Ni mawazo mazuri, lakini nadhani wewe upo nje na mada iliyoletwa na huyu jamaa, hilo suala unaloongelea ni suala lingine kabisa. Mimi kuongezea hiyo sekta hapo ni kwamba serikali iwakumbe pia Y? masomo ya utalii huko nyuma hayakuwa yanapewa mkazo sana vyuoni lakini miaka hii yameongezwa na pia kuanza kutolewa mkazo zaidi. Huko nchi za wenzetu masomo haya yalikuwa yanatiliwa mkazo tangu mwanzo, japo hawana vivutio ukilinganisha na kwetu.

Kuna hili suala la kusema oh! kwanini msijiajiri, - wote hawawezi kuwa wamejiajiri, how? ufungue Travel n tours zen wewe peke yako uwe tour counsult huwezi lazima uwe nao hata 7 au 8 hivi, + wafanyakazi wengine. Lengo langu ni hili, serikali inasisitiza kuhusu masomo haya vyuoni na watu wanasoma (wapo wanaopenda na labda wasiopenda wamelazimishwa au sijui nini kimewafanya wasomee wanajua wenyewe) - hii ni ishu nyingine.

Sasa kuna vivutio vingi hadi vingine serikali haivikumbi au sijui kupuuza mi sijui, mf: Lake Ngozi ipo huko Mbeya ni zinga la kivutio lakini haikumbukwi wala kuijali - pale wangeweza weka hata ofisi na kutengeneza miundombinu pale watu wakaajiliwa na kupata ajira, watalii wakaanza kutembelea kivutio hiki cha kustaajabisha.

Serikali inapaswa kuvitazama vivutio vyote hasa vile ambavyo vimesahaulika na kuviwekea mazingira mazuri - kuweka watu pale na zen kuvitangaza. Kwa wale wenye uwezo sawa wanaweza anzisha vivutio vipya au kuomba kibali cha kuendeleza kivutio fulani na hapo pia atasaidia wengi kwa kupata ajira.

Sema tatizo wanahisi ugali ni mdogo hivyo kuongeza idadi ya walaji wanaona shida. Any way tambua tu kwamba kuna sekta ambazo lazima serikali ikumbushwe kuzikumbuka hizo ni baadhi tu,
 
Elewa wizara ya kilimo inaajiri kwenye sekta zake kama utafiti na waalimu wa vyuo,hao wengine wanaajiriwa na halmashauri husika

Naomba Nikufahamishe Kuwa Serikali Imeunda Chombo Cha Kushughulikia Masuala Ya Ajira Yaani Sekretarieti Ya Ajira Hivyo Ajira Nyingi Hata Kama Ni Za Halmashauli Lazima Zipitie Huko Na Wizara Husika Isipokuwa Serikali Imetoa Ruhusa Kwa Baadhi Ya Ajira Kama Watendaji Wa Vijiji Makatibu Mahususi, Maafisa Maendeleo Ya Jamii Na Nyingine Chache Kutangazwa Na Halmashauri Husika Na Kuajiri, Na Ni Ukweli Usiopingika Kuwa Halmashauri Zinapeleka Idadi Kubwa Ya Uhitaji Ila Kutokana Na Sababu Mbalimbali Serikali Inaajiri Wataalamu Wachache, Hili Suala Ni Nyeti Liangaliwe Kwa Ukaribu.
 
Naomba Nijibu Hili, Dunia Leo Imekuwa Kijiji Hivyo Unaweza Kuwa Kijijini Lakini Taarifa Ukazipata Hata Kwa Kupanda Juu Ya Mti Kutafuta Mtandao Wa Simu, Pia Wataalam Wote Wanafundishwa Kuishi Mahali Popote Pale Ambapo Kuna Makazi Ya Watu, Kwa Hiyo Anaekataa Kwenda Kijijini Ana Suala Lake Binafsi

Suala apa si kukataa kwenda kijijini bali ni ugumu wa kupata ulajj ukiwa kijijini, na ukisema kuwa vijijin mawasiliano yapo cjui kijijin kipi maana kuna sehem ata kumpata mtu lazima akutafte mwenyewe ila watu wanafanya kazi.kokote sema wanabaki mjini kupata ajira afu wanaenda kokote
 
Si Kweli Wote Wanaoamua Kufanya Mambo Tofauti Na Waliyosomea Walilazimisha Kusoma Pasipo Kupenda, Wengi Hujikuta Wanalazimika Kufanya Hivyo Kutokana Na Ugumu Wa Maisha Kwani Wanakuwa Wamesubiri Ajira Kwa Muda Mrefu Pasipo Mafanikio, Kwa Mfano Wapo Watu Wamesoma Kilimo Na Sasa Wameamua Kuuza Mitumba, Huwezi Ukasema Walitamani Kuuza Mitumba Hata Kabla Ya Kwenda Kusomea Kilimo La Hasha, Bado Nitazidi Kusisitiza Serikali Iwaangalie Kwa Ukaribu Watu Kama Hao Kwani Imetumia Pesa Nyingi Kuwasomesha Na Mfumo Wa Sasa Wa Elimu Yetu Haumwandai Mhitimu Kujiajiri Bali Kuajiriwa Hadi Hapo Utakapobadirishwa Kwa Vizazi Vijavyo.
 
Back
Top Bottom