Existentialist
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 554
- 377
Hata mimi nilikua makini kuskiliza michezo, nikashtushwa na Maestro kumualika Diva na mada hiyo ya Uneshnomiling (usagaji) na wanamme kumangwa uroda!
Du siamini! Alisemaje hasa unge tueleza vizuri,mimi si msikilizaji wa hicho kipindi,ila Diva na kipindi cha Michezo wapi na wapi?Ina maana
aliitwa specific kuzungumzia hayo mambo!!! Kama ni hivyo basi hali ni
mbaya!
Hakuna mtu aliye na chuki na mtu mwanaJF huyu dada katamka kwa mdomo wake akadai yuko na rafiki zake ni mashoga na wasagaji so anatetea haki zao!!!
Anasema si bora serikali kutowapa haki zao za msingi na uhuru pia watambuliwe rasmi!!!
Hvi huyu dada akili zake ziko sawaaaaa????!!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hili suala linahitaji tafakari tusifikiri kwa IMANI kwani hili suala lina utata mkubwa mimi nina mtu ninae mfahamu ambae toka akiwa mdogo tulihisi kuwa anatabia za kike wakati jinsia yake ni ya kiume, na hatimae hata marafiki zake wa karibu wakawa wasichana na sasa ni shoga aliekubuhu wakati mwingine nahisi hawa watu hawachagui kuwa hivyo tutafakari GREAT THINKERS