VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
1. Kazi tumefanya
2. Mwezi umeisha
3. Kazi tunaendelea kufanya
4. Mshahara ni haki yetu
5.Mshahara hulipwa mwisho wa mwezi
Mbona kimya hadi leo tarehe 2/12/2013? Tafadhali Serikali,tupeni mishahara yetu. Mtulipe tusepe! Wapi TUCTA!?