Katika rasimu hii hii ya katiba mfumo wa serkali 3 hauwezekani na yeyote anayejiona kuwa ni lazima iwepo basi bila shaka anaota na mi binafsi naona ni bora tu angeamka toka katika usingizi wake mana anajipotezea muda wake,hizo njama za kuvunja muungano tumeshazishtukia hazikubaliki.
serkali 3 ni ndoto mi nashangaa sana baadhi ya wa-bara wenzangu wanashabikia masuala ya srekali 3 bila kufikiria na wanafanya hivyo ili tu kuwaridhisha wa pemba na waarabu bila kujua ni mtego kiasi gani wanajiingiza kwenye pango a simba inabidi tufikirie wa-bara wote tuwe wamoja kwenye suala hili,tukigawanyika bila mantiki ni ahisi sana kuwakatisha tamaa ndugu zetu wa unguja ambao kiuhalisia ni wabara na kuwafanya na wao wabadili mtazamo wao.tusiwe na mawazo kama yale ya warioba ya kutaka kuwaridhisha wa2 wengine wafurahi wakati anajiumiza mwenyewe.
wewe ni nani kwenye hii nchi kama sio kidampa. unatoa hoja halafu huonyeshi ushahidi kwanini haiwezekani
Katika rasimu hii hii ya katiba mfumo wa serkali 3 hauwezekani na yeyote anayejiona kuwa ni lazima iwepo basi bila shaka anaota na mi binafsi naona ni bora tu angeamka toka katika usingizi wake mana anajipotezea muda wake,hizo njama za kuvunja muungano tumeshazishtukia hazikubaliki.
Waulizeni CCM wanaitaka serikali moja ??
jina lako la aka linaonyesha wewe ni mchaga na bila shaka ni mmoja kati ya wale dizaini za walioba wanaotaka kuridhisha wengine wakati wenyewe wanajiumiza,pole sana,ushahidi uanoutaka sijui ni upi sasa mana choko choko za waarabu kwenye muungano wa sasa huzioni? Oman mafuta yanakaribia kwisha wanataka sehemu nyingine ndo mana unaona wanawasapoti watoto wa watumwa kama kina sefu na wenzake na wewe mmarangu unasapoti kabisa bila sha iq yako ni ndogo sana,mimi ushauri wangu unguja ambao ni wabara wanataka muungano wa serkali 2 lakini wapinzani wakubwa ni wapemba sasa basi kama wao wanataka kujitenga basi wajitenge watengeneze serkali yao ya pemba,na huku kwetu wapemba wote tuwafukuze warudi kwao kama vile bashir alivyowafukuza wa s.sudan wote.
HAYA Na wewe amka, maaana unaota unaotaKatika rasimu hii hii ya katiba mfumo wa serkali 3 hauwezekani na yeyote anayejiona kuwa ni lazima iwepo basi bila shaka anaota na mi binafsi naona ni bora tu angeamka toka katika usingizi wake mana anajipotezea muda wake,hizo njama za kuvunja muungano tumeshazishtukia hazikubaliki.
hata mie napenda serikali moja imara,kama sio hivyo basi serikali 3 ndo suluhisho,aiingii akilini zanzibar kuwa na bendera,wimbo wa taifa,katiba,rais wake,mipaka na mengine mengi,huku watanganyika tumemezwa na muungano,ikishindikana serikali moja basi tuwe na 3 hizi zote zikigoma basi hakuna haja ya muungano ni bora uvunjike kila mmoja ashike zake hamsini.
Tatizo ccm bara inaogopa kusema serikali moja mbele ya wazanzibar, sijui ni kwa nini
Ili kukusaidia kutafakari naomba nikuulize swali moja tu. Kikwete ni Rais wa nchi ipi? Ukinijibu nitapata pahala pa kukufahamisha kuwa tuna serikali mbili ya Zanzibar na Tanganyika yenye mgeni anayejiita Serikali ya jamhuri ya (muungano) wa Tanzania. Kwa sasa inatakiwa mgeni atoke chumbani aonekane.Katika rasimu hii hii ya katiba mfumo wa serkali 3 hauwezekani na yeyote anayejiona kuwa ni lazima iwepo basi bila shaka anaota na mi binafsi naona ni bora tu angeamka toka katika usingizi wake mana anajipotezea muda wake,hizo njama za kuvunja muungano tumeshazishtukia hazikubaliki.
Katika rasimu hii hii ya katiba mfumo wa serkali 3 hauwezekani na yeyote anayejiona kuwa ni lazima iwepo basi bila shaka anaota na mi binafsi naona ni bora tu angeamka toka katika usingizi wake mana anajipotezea muda wake,hizo njama za kuvunja muungano tumeshazishtukia hazikubaliki.
Jina lako la aka linaonyesha wewe ni mchaga na bila shaka ni mmoja kati ya wale dizaini za walioba wanaotaka kuridhisha wengine wakati wenyewe wanajiumiza,pole sana,ushahidi uanoutaka sijui ni upi sasa mana choko choko za waarabu kwenye muungano wa sasa huzioni? oman mafuta yanakaribia kwisha wanataka sehemu nyingine ndo mana unaona wanawasapoti watoto wa watumwa kama kina sefu na wenzake na wewe mmarangu unasapoti kabisa bila sha IQ yako ni ndogo sana,mimi ushauri wangu unguja ambao ni wabara wanataka muungano wa serkali 2 lakini wapinzani wakubwa ni wapemba sasa basi kama wao wanataka kujitenga basi wajitenge watengeneze serkali yao ya pemba,na huku kwetu wapemba wote tuwafukuze warudi kwao kama vile bashir alivyowafukuza wa s.sudan wote.
Katika rasimu hii hii ya katiba mfumo wa serkali 3 hauwezekani na yeyote anayejiona kuwa ni lazima iwepo basi bila shaka anaota na mi binafsi naona ni bora tu angeamka toka katika usingizi wake mana anajipotezea muda wake,hizo njama za kuvunja muungano tumeshazishtukia hazikubaliki.
Katika rasimu hii hii ya katiba mfumo wa serkali 3 hauwezekani na yeyote anayejiona kuwa ni lazima iwepo basi bila shaka anaota na mi binafsi naona ni bora tu angeamka toka katika usingizi wake mana anajipotezea muda wake,hizo njama za kuvunja muungano tumeshazishtukia hazikubaliki.
Serikali mbili ni matatizo! Serikali 3 nazo ni matatizo, sULUHU NI SERIKALI 1 TU...