Kwann ukae na maiti mda mrefu bila kuzika? - JamiiForums
Kwann ukae na maiti mda mrefu bila kuzika? - JamiiForums
Mada zako ni za kufakufa tuu, vipi umetamani kufa uende firdaus kwa wale mabikira wenu? chonde chonde nenda salama mwenyewe usije kutamani kwenda na wengine. Hata hivyo kuhubiriri hubiri vifo tu bila kubadilisha matendo kuishi kadiri atakavyo Mwenye enzi Mungu bado hakusaidii.
We ni kiazi kweli inakuhusu nini sema ukifa wewe usijengewe ufe ht sasa hivi pumbavu kbasHii dunia ya sasa ina maajabu sana ,unapita makaburini unakuta kaburi limejengewa ukubwa wa meter 3/5 mtu1.
Hivi mnataka baada ya miaka50 wengine wazikiwe wapi? Hakuna kitabu cha dini kinacho endekeza kujengea makaburi..
Ni utashi wa watu binafsi na ubinafsi..km kaburi likipotea shida iko wapi?
Ilo kaburi linakusaidia nini unaliabudu au linakusaidia nn?
Nashauri serikali ipige marufuku kabisa kujengea makaburi..
Sent using Jamii Forums mobile app