Report kuhusu ajali za ndege huwa inachukua muda mrefu kutolewa.it is one of the problems of our country to ignore things that, if they happen again, bring much more harm than usual
Kwa sasa tanzania hatuna rais tuliyenaye ni mgagagigikokoSerikali ilitutangazia kuwa watoa ripoti kuhusu chanzo cha ajali ya ndege iliyoua abiria 19. Ila hadi leo ni siku ya 71 pamekuwa na ukimya kuhusu chanzo cha ajali.
Mawasiliano kati ya Ndege na Tower hurekodiwa na kutuzwa kwa muda wa Miezi 6 hadi Mwaka.
Je kuna ugumu gani kwa Serikali kutoa mawasiliano hayo ili tujue dakika 30 kabla ya ajali mawasiliano yalikuwaje?
Je, ni uzembe wa Rubani?
Je, ni Uzembe wa shirika?
Je, ni uzembe wa Tower ya Mwanza?
Je, ni uzembe wa TMA kutoa taarifa za hali ya hewa?
Je, ni uzembe wa ndege?
Kwanini tumesahau mapema hivyo?
Na ripoti ya kuungua kwa soko la kariakoo nayo je..!!??Report kuhusu ajali za ndege huwa inachukua muda mrefu kutolewa.
Shughuli ya uchunguzi inafanywa kwa muunganiko wa makundi tofauti ya wataalamu.
Hapo kuna, wachunguzi wa kimataifa kutoka IATA, na kampunni iliyo tengeneza ndege.
Report kamili inaweza chukua hadi mwaka mzima ili kuwa public release.
Hawataki mambo ya kubahatisha( nadharia), wanacho hitaji ni sababu za uhakika zilizo pelekea ndege kupata ajali.
Hata kama inasemekana sababu ya ajali ni kitu fulani, bado wachunguzi hawoto chukua hiyo sabubau........wao wata fanya uchunguzi kwa kufuata kanuni za kichunguzi kutoka AITA.
Kuwa mpole tu, report ikiwa tayari umma utajulishwa.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
pole siasa inapochukuliwa kuwa siasa kweli kweli kweli na zaidi ya siasa. Mungu ulie juu ya vyote, tuokoe.🙏🙏Report kuhusu ajali za ndege huwa inachukua muda mrefu kutolewa.
Shughuli ya uchunguzi inafanywa kwa muunganiko wa makundi tofauti ya wataalamu.
Hapo kuna, wachunguzi wa kimataifa kutoka IATA, na kampunni iliyo tengeneza ndege.
Report kamili inaweza chukua hadi mwaka mzima ili kuwa public release.
Hawataki mambo ya kubahatisha( nadharia), wanacho hitaji ni sababu za uhakika zilizo pelekea ndege kupata ajali.
Hata kama inasemekana sababu ya ajali ni kitu fulani, bado wachunguzi hawoto chukua hiyo sabubau........wao wata fanya uchunguzi kwa kufuata kanuni za kichunguzi kutoka AITA.
Kuwa mpole tu, report ikiwa tayari umma utajulishwa.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Huko current wewe halafu unajitia ujuaji mwingi waksti kichwani hopelessSerikali ilitutangazia kuwa watoa ripoti kuhusu chanzo cha ajali ya ndege iliyoua abiria 19. Ila hadi leo ni siku ya 71 pamekuwa na ukimya kuhusu chanzo cha ajali.
Mawasiliano kati ya Ndege na Tower hurekodiwa na kutuzwa kwa muda wa Miezi 6 hadi Mwaka.
Je kuna ugumu gani kwa Serikali kutoa mawasiliano hayo ili tujue dakika 30 kabla ya ajali mawasiliano yalikuwaje?
Je, ni uzembe wa Rubani?
Je, ni Uzembe wa shirika?
Je, ni uzembe wa Tower ya Mwanza?
Je, ni uzembe wa TMA kutoa taarifa za hali ya hewa?
Je, ni uzembe wa ndege?
Kwanini tumesahau mapema hivyo?
Riport kamili hutolewa na mtengenezaji akishirikiana na mamlaka husika. Ukweli wenyewe hiyo riport bado sana.Huko current wewe halafu unajitia ujuaji mwingi waksti kichwani hopeless
Ripoti ilishatoka siku nyingi na vyombo.vya habari vikatoa
Je kuna ugumu gani kwa Serikali kutoa mawasiliano hayo ili tujue dakika 30 kabla ya ajali mawasiliano yalikuwaje?
UongoRiport kamili hutolewa na mtengenezaji akishirikiana na mamlaka husika. Ukweli wenyewe hiyo riport bado sana.
Air crash investigation inahusisha wadau wengi tena ni lazima.Na ripoti ya kuungua kwa soko la kariakoo nayo je..!!??
Sasa tabia ambayo serikali imeionyesha kwenye ripoti ya kuungua kwa soko la Kariakoo, unadhani hawawezi kuionyesha kwenye taarifa ya kudondoka kwa hiyo ndege..!!?? Ukizingatia ndiyo tabia yao..!!Air crash investigation inahusisha wadau wengi tena ni lazima.
Kuhusu soko la K.Koo ni issue ya Serikali, na unafahamu tabia ya serikali yetu.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Haya imetoka tayari, maana bongo kila mtu ni mtaalamu wa kila kitu, subiri nyingine baada ya mwaka.Serikali ilitutangazia kuwa watoa ripoti kuhusu chanzo cha ajali ya ndege iliyoua abiria 19. Ila hadi leo ni siku ya 71 pamekuwa na ukimya kuhusu chanzo cha ajali.