Serikali na mwaka 2016

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,950
Salaam wana JF,

Mwaka 2016 katika serikali ya awamu ya tano ulikua na misukosuko hasa katika kurekebisha mifumo na taratibu za utendaji, serikali ilipania kubana matumizi yasio ya lazima, ilipambana na watendaji waovu na waliopenda njia za mkato kupata fedha, aidha, iliwabana watumishi wa umma sana katika suala la wafanyakazi hewa na vyeti feki.

Aidha, ilijaribu kuinua sekta ya usafiri wa anga kwa kiasi ingawa bado kuna mahitaji zaidi katika sekta nzima ya usafirishaji nchini, mawazo yangu sasa kwa mwaka 2017 serikali iboreshe maslahi ya watumishi wa umma ili tija na ari zifufuke.

Vilevile ijikite kuangalia upya mikataba ya Sekta ya Madini, na utalii hasa kuondoa kodi ya VAT 18% kwenye huduma za watalii maana wengi wamepotelea jirani, usafiri wa majini, mifumo yote ya utitiri wa kodi zinazokwamisha shughuli na maisha ya watumishi, wafanyabiashara na wawekezaji.
 
Mwache nkulu ainyooshe nchi. Hahitaji mawazo kutoka popote kwani hukumsikiliza wakati alipoongea na waandishi wa habari? Sisi tusubiri muda wake uishe, tumpime kwa matokeo ya mipango na utendaji wake. Kama atapata matokeo chanya tutaamua kumpa tens miaka mingine, akichemka tutakuwa hatuna chaguo ila kumuomba radhi apishe wwngine
 
Salaam wana JF,

Mwaka 2016 katika serikali ya awamu ya tano ulikua na misukosuko hasa katika kurekebisha mifumo na taratibu za utendaji, serikali ilipania kubana matumizi yasio ya lazima, ilipambana na watendaji waovu na waliopenda njia za mkato kupata fedha, aidha, iliwabana watumishi wa umma sana katika suala la wafanyakazi hewa na vyeti feki.

Aidha, ilijaribu kuinua sekta ya usafiri wa anga kwa kiasi ingawa bado kuna mahitaji zaidi katika sekta nzima ya usafirishaji nchini, mawazo yangu sasa kwa mwaka 2017 serikali iboreshe maslahi ya watumishi wa umma ili tija na ari zifufuke.

Vilevile ijikite kuangalia upya mikataba ya Sekta ya Madini, na utalii hasa kuondoa kodi ya VAT 18% kwenye huduma za watalii maana wengi wamepotelea jirani, usafiri wa majini, mifumo yote ya utitiri wa kodi zinazokwamisha shughuli na maisha ya watumishi, wafanyabiashara na wawekezaji.
Mwache nkulu ainyooshe nchi. Hahitaji mawazo kutoka popote kwani hukumsikiliza wakati alipoongea na waandishi wa habari? Sisi tusubiri muda wake uishe, tumpime kwa matokeo ya mipango na utendaji wake. Kama atapata matokeo chanya tutaamua kumpa tens miaka mingine, akichemka tutakuwa hatuna chaguo ila kumuomba radhi apishe wengine
 
Back
Top Bottom