Serikali mbili inatunyima haki watanganyika

Serikali mbili inatunyima haki watanganyika

Nbajut

Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
15
Reaction score
4
Kwa muda mrefu tumekuwa kwenye muungano huku Zanzibar wakiwa na serikali ya huku mambo ya Tanganyika yakishughulikiwa na serikali ya Muungano na rais wa Jamhuri ya muungano akiwa pia rais Tanzania bara.

Mwelekeo unaonesha katiba mpya itaturejesha kule kule, mimi nadhani kama tunataka muungano dawa ni kuwa na serikali moja huku kila upande uwe tayari kupoteza hadhi na Jina lake. Tukifanya hivyo tunajenga mazingira ya kuelekea umoja wa Afrika.
 
Naomba kuuliza hivi tarehe 9dec ya kila mwaka huwa tunasheherekea uhuru wa nchi gani tanzania au Tanganyika ambayo haipo?
 
Unanyimwa haki gani ambayo wewe unaiona inakosekana kwako wewe.
 
Back
Top Bottom