Napenda kuamini kuwa serikali mbili ndo suruhisho la matatizo ya muungano.Hapatakuwa na mshikamano madhubuti katka masuala ya uchumi na maendeleo ya jamii na gharama ya kuziendesha serikali3 itakuwa kubwa kama tukikubali kuwa na serikali3 ndo maana Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake hazikubali pendekezo la Tume ya warioba la serikali3
Kuliko ungana wapi bandugu mbona na wewe unalala kama popo ..zanzibar chao chao chetu chao sasa huo muungano au kiini macho .mbona mijitu migumu kuuelewa kama weweni kwanin tutengane lakini? tukianza kutengana tutengana mpaka katka masuala ya kijinsia.
Napenda kuamini kuwa serikali mbili ndo suruhisho la matatizo ya muungano.Hapatakuwa na mshikamano madhubuti katka masuala ya uchumi na maendeleo ya jamii na gharama ya kuziendesha serikali3 itakuwa kubwa kama tukikubali kuwa na serikali3 ndo maana Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake hazikubali pendekezo la Tume ya warioba la serikali3
kama hatuna dhati ya kuungana na kuunda serikali moja ya nchi moja ya TANZANIA yenye jina linalobeba dhana ya pande zote, ni bora kila nchi ibaki kivyake tubakie kuwa nchi marafiki maana tofauti na hapo migogoro haitaisha maana kila upande utatafuta faida yake.
Nawasilisha.
Mi nataka serikali nne
Kuliko ungana wapi bandugu mbona na wewe unalala kama popo ..zanzibar chao chao chetu chao sasa huo muungano au kiini macho .mbona mijitu migumu kuuelewa kama wewe
ni kwanin tutengane lakini? tukianza kutengana tutengana mpaka katka masuala ya kijinsia.
Napenda kuamini kuwa serikali mbili ndo suruhisho la matatizo ya muungano.Hapatakuwa na mshikamano madhubuti katka masuala ya uchumi na maendeleo ya jamii na gharama ya kuziendesha serikali3 itakuwa kubwa kama tukikubali kuwa na serikali3 ndo maana Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake hazikubali pendekezo la Tume ya warioba la serikali3
wewe hupendi nchi hizo kutafuta faida zake?.. watu wanaungana wewe unatuamnia tusiungane chamsingi nchi mbili yaani Tanganyika + Zanzibar serikali tatu yaani ya Zanzibar, Tanganyika na Tanganyika...
sasa hapo muungano uko wapi?
hata watu wanapooana kila mtu huacha mambo ya kwao hukohuko kwao, hata wangekuwa na utajiri vipi na mmojawapo anapotaka kuleta mambo ya kwao, migogoro ktk ndoa huanza.
Ndio maana nasisitiza kama kweli tunahisi udugu baina yetu ndo jambo linalotuunganisha, basi tukubali kuuweka utanganyika na uzanzibari pembeni ili kujenga kitu kimoja kweli, la kama ni kwa sababu ya kibiashara na kutafuta faida ni bora tuache kwani cku biashara ikikataa lazima tutavurugana.
Tuongozwe na udugu then faida za kibiashara zitajileta zenyewe tena kwa manufaa makubwa zaidi, la kama hatuongozwi na udugu bora tuache.