Serikali Makini na Ajira za Walimu

Serikali Makini na Ajira za Walimu

Muhwelo

Senior Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
136
Reaction score
32
Ni takribani miezi minane sasa wahitimu wa taaluma ya ualimu wako mitaani. Serikali imekuwa ikitaja kuwa moja ya sababu za kuwa na matokeo mabaya mashuleni ni uhaba wa walimu. Naibu Waziri wa Elimu aliahidi ajira kutangazwa mwezi Januari, 2013. Vivyo hivyo Mkuu wa Kaya JK alisisitiza mwezi huo huo wa Januari. Sasa leo ni Februari, sio Januari tena. Au kuna 'political january'? Je, serikali hii ina mpango wa dhati kweli kuinua kiwango cha elimu nchini? Hivi ni kweli kwamba hii ni serikali makini kama inavyosemwa? Nawakilisha!
 
ni takribani miezi minane sasa wahitimu wa taaluma ya ualimu wako mitaani. Serikali imekuwa ikitaja kuwa moja ya sababu za kuwa na matokeo mabaya mashuleni ni uhaba wa walimu. Naibu waziri wa elimu aliahidi ajira kutangazwa mwezi januari, 2013. Vivyo hivyo mkuu wa kaya jk alisisitiza mwezi huo huo wa januari. Sasa leo ni februari, sio januari tena. Au kuna 'political january'? Je, serikali hii ina mpango wa dhati kweli kuinua kiwango cha elimu nchini? Hivi ni kweli kwamba hii ni serikali makini kama inavyosemwa? Nawakilisha!
tatizo `njuluku`za kuwalipa,utaajiri vipi kama hauna pesa ya kulipa?
 
kwa hiyo waziri na mkuu wa kaya walikurupuka kutangaza ajira bila kuonana na waziri wa fedha/hazina?
si unajua kuwa budget ni projection,sasa kama ulichopanga kukusanya kikakosekana unafanyaje..................
 
kazi zisizokuwa na interview zinakuwa na longolongo nyingi
 
mi nataka ziendelee kuchelewa ili mitaan tuheshimiane

lazima utakuwa unagombania dam na ticha ambaye bado hajaajiliwa na amekushinda. Sasa unaogopa akipata ajira ndoo kabisaa hutamgusa. Mtu gani wewe unaingia jf na kuanza kwa kushangilia matatizo ya watu tena waungwana waheshimiwa waalimu?
 
watu wengine mabwege sasa hueshimiane na nani na kikwete au na kazi yako ya kuuza dawa za mende
 
si unajua mabo ya cash badget, mambo yameingiliana, kikao cha Bunge, safari za mh.jk, mtihani wa 4m six nk. Lipi lianze lipi lifuate? kupanga ni kuchagua!!
 
Back
Top Bottom