Serikali kukamilisha mradi wa meli tatu katika Ziwa Nyasa

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,743
22,452
Serikali ya Tanzania imesema iko mbioni kukamilisha mradi wa meli tatu katika Ziwa Nyasa Mkoa wa Ruvuma.

Mradi huo utagharimu takribani shilingi bilioni 27 za kitanzania

Meli hizo mbili zitakuwa za mizigo na moja ya abiria.

Zitakuwa na uwezo wa kubeba tani elfu 1 kila moja na watu 200 na tani 200 za mizigo.
 
Back
Top Bottom