comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
Katika kupambana na uharibifu wa mazingira unaoletwa na uingizwaji wa mifugo ndani ya maeneo ya Hifadhi za wanyama pori na Hifadhi za misitu, serikali inakusudia kubinafsisha mifugo itakayokamatwa ndani ya Hifadhi au maeneo yote yaliohifadhiwa na kuwafungulia mashtaka watakaoingiza mifugo maeneo hayo.
ITV
ITV