johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,528
Waziri wa Mifugo Mh Masbimba amesema Serikali kupitia wataalamu wake imetayarisha bei Elekezi ya Mifugo na kinachosubiriwa sasa ni kikao cha Wadau ili kuzipitisha.
Mh Masbimba amesema hayo akiwa Wilayani Chato Geita
Source ITV habari
Mh Masbimba amesema hayo akiwa Wilayani Chato Geita
Source ITV habari
