Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
serikali ya chama cha mapinduzi ya magu itoe ajira?
well said kigwangala ndo ana tabia hiiIla cha kushangaza watakwambia ujiajiri, kumbe hao hao wanaokwambia hivyo wameajiriwa na siasa...Pathetic
well said mkuuHapo ndio ushangae hata Wapinzani wameshindwa kulifanya hili suala la AJIRA kama agenda, wamebaki kupanua mamidomo Bashite bashite - rambirambi rambirambi - mchanga mchanga - rais hasafiri rais hasafiri - demokrasia demokrasia - kiingereza cha Magufuli kiingereza cha Magufuli
- Sidhani kama kuna nchi nyingine yenye vyama vya upinzani vya kibogus kama Tanzania
can be trueSelikari imefulia. We hushangai hera zetu za nssf wanakatalia!? Rambirambi zinageuzwa hera za kujengea hospitali!!?
kwann mkuuserikali ya chama cha mapinduzi ya magu itoe ajira?
yepi hayo?Ajira now imekuwa mzozo sana,hadi uhalifu umezidi...
Vijana now bora tu stop kuthink kuhusu Ajira, turuhusu mawazo mapya
Kwanza kabisa niseme huwa sinaga chama, Kila ninaechat au kuzungumza naye analalamika hali kuwa ngumu
Nawaonea huruma vijana wenzangu.ambao wamesoma wanazo degree zao wapo tu nyumbani kila siku wimbo wa ajira umekua ni ule ule
Ingekua hata serikali imewatengezea mazingira ya kujiajiri hata isingekua nongwa
Vijana wa nchi wana moyo wa uvumilivu sana
Wanapitia kipindi kigumu cha maisha kuliko chochote kile tanzania hii
Naumia sana pale napowakuta vijana wenzangu hususani kaka zangu na dada zangu wa kitanzania. wamesomeshwa kwa shida na wazazi hizo degree au wamesoma kwa mkopo halafu leo hawana ajira halafu hapo body ya mikopo inawajia juu walipe watalipaje sasa?
Serikali ya kidemokrasia ni utawala wa watu ulowekwa na watu na kwa manufaa ya watu kwanini vijana ambao wengi ndo wapiga kura wakose ajira katka nchi yao
Tuache utani kwenye hili jambo halihitaji mzaha kabisa
Cha msingi serikali itoe ajira kwa vijana kuliko kinyume chake
Kama hutoi ajira kuna haja gani ya kutenga mabilioni kila mwaka ya mikopo na kujenga au kukarabati vyuo ilhali watu hawaajiriwi?
Acha kujitoa ufahamu wewe kwa hiyo unamaanisha upinzani ndo uajiri watu eti?Hapo ndio ushangae hata Wapinzani wameshindwa kulifanya hili suala la AJIRA kama agenda, wamebaki kupanua mamidomo Bashite bashite - rambirambi rambirambi - mchanga mchanga - rais hasafiri rais hasafiri - demokrasia demokrasia - kiingereza cha Magufuli kiingereza cha Magufuli
- Sidhani kama kuna nchi nyingine yenye vyama vya upinzani vya kibogus kama Tanzania
Wewe mangi umefuga nguruwe mpaka akili zimefanana na nguruwe. NakupuuzaAcha kujitoa ufahamu wewe kwa hiyo unamaanisha upinzani ndo uajiri watu eti?
Kwa hiyo kazi ya serikali ni nini?
Mwambie Yohana kama kazi imemshinda aiache asepe zake watu wa kuifanya na ikaenda vizuri wapo tena ni wengi, asijifanye mungu mtu kila siku anajitapa anapigania wanyonge kumbe ndo anazidi kuwanyonga.
Mwambie hii unemployed mob anayoitengeneza ndo itamhukumu mda ukifika.