Maikara
Member
- Sep 5, 2018
- 9
- 4
Ni miaka takribani 38 bado suluhu ya ardhi ya Tarafa ya Inchage Kijiji cha Kebweye haijulikani.
Serikali yetu ni sikivu hebu ufumbuzi wa suala hili ufikiwe maana wananchi wamechoka kudanganywa na kwa sasa wanaishi kwa mashaka, kwa sababu vita inayoendelea inakwamisha maendeleo.
Ardhi ni mali ya Kijiji cha Kebweye iweje watu wa Kyoruba wavamie na kujihalalishia kwamba ni yao?