ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 622
- 1,543
Serikali isikwepe jukumu la kuhudumia wananchi wake, Propaganda zinazopigwa hazitalisaidia Taifa zaidi ya kuwaumiza wananchi, jukumu letu ACT WAZALENDO ni kuisukuma ajenda hii ya kuitahadharisha Serikali ichukue hatua ya kulinusuru Taifa na balaa la njaa