Serikali inunue shares za Kq, Precision Air.

Serikali inunue shares za Kq, Precision Air.

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
38,636
Reaction score
49,047
Baada ya Precision Air kupeleka Ombi maalum serikalini kuomba kuongezewa mtaji..

Kuna kila dalili kwa ndoa ya KQ na precision kutokuzaa matunda..

Badala ya serikali kutoa tu mtaji, itumie nafasi hii kununua shares za Kq..

Pendekezo...na mawazo yangu..
 
Precision Air ni Kampuni ya Watu binafsi na Ina utaratibu wa kupata mitaji kupitia soka la hisa.Kwa nini isitoe right issue ili kupata mtaji zaidi? Serikali ina kazi ya kusimamia ushindani wa biashara na kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji.Labda kama ni pesa zitokanazo na mdororo wa uchumi ambazo zilitolea mwaka 2008-2009.Kama walichelewa kupeleka maombi imekula kwao.
 
wangebadili pia kampuni toka private to public then wana issue prospectus kwa ajili ya kukuza mtaji wao..ila badala ya fedha kutolewa tu, ingekua busara zaidi kununua hisa za KQ, na serikali kua mbia na precision..
 
Back
Top Bottom