Line 1 icyo ya campuni yoyote? Hyo lain nan ataitoa? Atakusajil nan? Utaweka vocha ya mtandao up?itakuwa vzr laini moja ambayo sio ya kampuni yoyote ila utaamua utumie mtandao upi wakati unapiga.
Laini moja ndio mpango mzima, unapopinga toa sababu za msingi achana na utoto!
kama cambodiaLaini moja ndio mpango mzima, unapopinga toa sababu za msingi achana na utoto!